Misiba ya kina Lissu haiwahusu wanataka ya diwani wao ituhusu ha ha ha weita lete castle light.Natumai pia mmeshamaliza kulaani mauaji ya watu 13 yaliyofanywa na polisi huko Zenji
Pia laani mauaji ya wazanzibar kwenye uchaguzi huu wa juzi.Hapa tunalaani mauaji bwashee!
Hayo ya uhuni anzisha uzi wako!
Unataka kusema hukuyasikia mauaji ya Zanzibar?Taarifa zimetolewa na nani?
Hata ya Chacha Wangwe nililaani!Umeshamaliza kulaani mauaji ya Alphonce Mawazo yaliyofanywa na uvccm?
Diwani ni jina la mtu!Uchaguzi ukishamalizika sio busara kuweka vyama mbele,ungesema diwani mteule ingetosha.
Mungu amlaani/awalaani walio ondoa uhai wa wenzao.
agwe..Hapo ndo mnapokosea, matendo kama haya yakiwakuta Wapinzani likes CHADEMA, ACT huwa mnakaa kimya.
Thatswhy yakiwakuta ninyi hakuna anaewaonea huruma, hii italeta matokeo mabaya sana kwa taifa letu, Vijana ambao ni kizazi cha kesho wanacheka huku wanalia, ipo siku aijuaye Allah mtaliingiza taifa mahala pabaya sana.
Maoni na mtazamo wako si lazima ufuatwe na wengine. Haya ni matokeo ya kujiona ni bora kuliko wengine na kutoheshimu wengine. Tusipangiane.Hapa tunalaani mauaji bwashee! Hayo ya uhuni anzisha uzi wako!
Uchaguzi ukishamalizika sio busara kuweka vyama mbele,ungesema diwani mteule ingetosha.
Mungu amlaani/awalaani walio ondoa uhai wa wenzao.
Ni kweli ingawa mara nyingi kinachoua ni moshi na sio moto. Kwa vyovyote vile, kifo ni kifo na marehemu wanastahili kuombewa ili Mwenyezi Mungu awaweke mahali pema peponi.MWENYEZI MUNGU, awafanyie wepesi Wapumzike kwa amani, kifo cha moto ni cha mateso Sana, pole kwa wanafamilia wote, jamaa na majirani, R. I. P fatma na wajukuu
Kama moto ulisababishwa na hitilafu ya Umeme.Walaaniwe washenzi wakubwa hao.