Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Kama Mbowe tu. Alivamiwa na vijana.Wameonekana watu wamechoma moto au hisia tu. Kwa nijinisiwe ajali kama ajali zingine za moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mbowe tu. Alivamiwa na vijana.Wameonekana watu wamechoma moto au hisia tu. Kwa nijinisiwe ajali kama ajali zingine za moto
Watakamatwa ndipo tutajua chanzo chake. Saa hizi Bila Shaka wako kwenye misitu ya Kisarawe au Kibiti wakijiandaa kwenda Msumbiji.Chanzo ni ninini!?
Akina nani?Watakamatwa ndipo tutajua chanzo chake. Saa hizi Bila Shaka wako kwenye misitu ya Kisarawe au Kibiti wakijiandaa kwenda Msumbiji.
Utapata taarifa zao tu uwe mvumilivuAkina nani ?
Kama sababu ni hiyo, yeye alikuwa na kosa gani? Kama uchaguzi ndio sababu, basi kosa wametenda waliosimamia uchaguzi.Huu mfumo tunaoingia wa chama kimoja, Mungu atulinde.
Tulaani kwa kuwa aliyeuawa ni mwanadamu mwenye haki ya kuishi...
Ukishaweka maneno kama diwani wa CCM n.k, unaifanya taarifa yako ieleweke kisiasa...
Mwisho, pole kwa waliofikwa na msiba