TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

Mambo haya tuliyasikia kwa majirani Kenya, Burundi, Rwanda na Congo kwenye ile misitu ya Goma.

Sasa ndugu zangu siasa sasa imegeuka vita. Maisha yamebadilika mno ndani ya hii miaka 5 tangu 2015.
 
Tulaani kwa kuwa aliyeuawa ni mwanadamu mwenye haki ya kuishi...

Ukishaweka maneno kama diwani wa CCM n.k, unaifanya taarifa yako ieleweke kisiasa...

Mwisho, pole kwa waliofikwa na msiba

Uwe unalaumu pia na Vyombo vya Usalama. Taarifa zao huwa zinatoka bila uwiano na huegemezwa kisiasa hii inajenga Chuki. Pia usisahau Marehemu ni mwana Siasa hapo wanaweza kuwa wanataja wasifu wa mtu tu.

Ukiwa una laani muwe mna laani pia pale Raia (Wapinzani) wengine wanapo uwawa / kusingiziwa Kesi /kujeruhiwa na Vyombo vya Ulinzi na hakuna hatua zinazo chukuliwa kukomesha haya.
 
Mmejuaje kama imechomwa? Uchunguzi umeshakamilika kwani?
 
Back
Top Bottom