Uchaguzi 2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

Uchaguzi 2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

Si ajabu hili alilotenda linaweza kufanyika katika vituo vingi nchini. Mtu akajichukulia form halafu hawana hata rekodi yoyote ile ya kuweza kumtambua. Na kama form ilitolewa kabla ya Chama kuteua mgombea hiyo form ni BATILI mgombea husika apewe form nyingine.
Tatizo mna makelele mengi ajabu. Hii ndiyo kiboko yenu sasa
 
Nenda huko wilayani utayakuta Ma DED hopeless km huyo yapo yapo tu mpaka unajiuliza hii nchi tunaipeleka wapo!!!
 
Duh! Wanatoaje form kwa mtu bila kujua jina lake, address yake na namba yake ya simu? Na wanatoaje form kwa mgombea kabla chama husika hakijateua mgombea wake?😳

Their record keeping is ZERO.

Huu ni uhuni wa hali ya juu.
Wanafanya makusudi kwa dharau. Hapa ndio pa kulianzishia
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa uhuni kama huu wa huyu mkurugenzi, Mungu atupe uvumilivu kwakweli vinginevyo mtu unaweza ua bure, yeye kama siyo sehemu ya uhuni huo kwanini asitoe amri akasakwa huyo mtu na hataki kuonyesha ushirikiano
hao jamaa wamepewa hadi dispatch yenye jina la mtu aliyechukua fomu kwanini wasimtafute huyo mtu
 
Mbona simple tu, yeye atoe fomu nyingine halafu utaratibu wakati wa kurudisha hiyo fomu awepo kiongozi wa ngazi za juu za CDM( Mwenyekiti au katibu) Hapo atajulikana halali ni yupi.

Hayo anayosema CHADEMA waende polisi wamtafute huyo mgombea fake fomu irudishwe kwake ndiyo atoe fomu nyingine, huko ni kupoteza muda, na kuweka mazingira ya CDM kukosa mgombea.

Huyu mmurugenzi kwa jinsi alivyokuwa anajieleza inaelekea anajua kabisa kuwa huyo mgombea alikuwa fake na hawezi kurudisha hiyo fomu.
ukiruhusu hili kesho litakuja kundi jingine kuchukua fomu so itakua chaos mkuu
 
Kwanini wanailazimishia chadema mgombea ambaye hajateuliwa na chama?
 
Alafu mtu anafurahia kama jambo lenye akili!?
Sijuwi Nani aliye waloga vijana!
 
Tuondolee upuuzi wako hapa! Unadhani kama angekuwa ana uhakika wa kushinda ni kwanini aiogope TUME HURU? 😳😳

1597854325882.jpeg


Makelele hayafai dogo, JPM atawapiga asubuhi tu
 
ZWAZWA kweli wewe unadhani kama Tume Huru si mada ya maana Mkapa angeizungumzia zwazwa wewe!?
Usilete upuuzi wako katika mada za maana! Subiri hadi 2025
 
Back
Top Bottom