Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
anaishi wapi huyu mama tafadhali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana huyu mama!! Kwa mtaji huu, Tundu Lissu arudi ubeleji tu
Tatizo mna makelele mengi ajabu. Hii ndiyo kiboko yenu sasaSi ajabu hili alilotenda linaweza kufanyika katika vituo vingi nchini. Mtu akajichukulia form halafu hawana hata rekodi yoyote ile ya kuweza kumtambua. Na kama form ilitolewa kabla ya Chama kuteua mgombea hiyo form ni BATILI mgombea husika apewe form nyingine.
Wanataka kurudia yale yale ya serikali za mitaa kwa style nyingine.Aisee, hatari sana. Na haya ndo yatakayoleta machafuko
Ninyi makamanda mlioko Dar, mnakwama sana....ilitakiwa huyo mkurugenzi akatwe mtama wa haraka..
Tatizo mna makelele mengi ajabu. Hii ndiyo kiboko yenu sasa
Wanafanya makusudi kwa dharau. Hapa ndio pa kulianzishiaDuh! Wanatoaje form kwa mtu bila kujua jina lake, address yake na namba yake ya simu? Na wanatoaje form kwa mgombea kabla chama husika hakijateua mgombea wake?😳
Their record keeping is ZERO.
Huu ni uhuni wa hali ya juu.
hao jamaa wamepewa hadi dispatch yenye jina la mtu aliyechukua fomu kwanini wasimtafute huyo mtuKwa uhuni kama huu wa huyu mkurugenzi, Mungu atupe uvumilivu kwakweli vinginevyo mtu unaweza ua bure, yeye kama siyo sehemu ya uhuni huo kwanini asitoe amri akasakwa huyo mtu na hataki kuonyesha ushirikiano
ukiruhusu hili kesho litakuja kundi jingine kuchukua fomu so itakua chaos mkuuMbona simple tu, yeye atoe fomu nyingine halafu utaratibu wakati wa kurudisha hiyo fomu awepo kiongozi wa ngazi za juu za CDM( Mwenyekiti au katibu) Hapo atajulikana halali ni yupi.
Hayo anayosema CHADEMA waende polisi wamtafute huyo mgombea fake fomu irudishwe kwake ndiyo atoe fomu nyingine, huko ni kupoteza muda, na kuweka mazingira ya CDM kukosa mgombea.
Huyu mmurugenzi kwa jinsi alivyokuwa anajieleza inaelekea anajua kabisa kuwa huyo mgombea alikuwa fake na hawezi kurudisha hiyo fomu.
Makelele hayafai dogo, JPM atawapiga asubuhi tuWacha kuonyesha ujinga wako wewe! Nani anakubali haki yake iminywe? 😳
da nimecheka sana jamaa kawawaiMbwa kala mbwa
Makelele hayafai dogo, JPM atawapiga asubuhi tu
Usilete upuuzi wako katika mada za maana! Subiri hadi 2025Tuondolee upuuzi wako hapa! Unadhani kama angekuwa ana uhakika wa kushinda ni kwanini aiogope TUME HURU? 😳😳
View attachment 1542336
Kibamba tunamchagua SUDI tuNakuomba Sana , Sana Mheshimiwa Boniface Jacob chukua hatua za haraka Sana kudhibiti mchezo huo mchafu !!! Kinondoni Si mwingine Ni Boniface Jacob tu .
Usilete upuuzi wako katika mada za maana! Subiri hadi 2025