Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kwa Magufuli alitakiwa kujengewa kibanda cha nyasi kabisa, mshenzi na muuaji mwenye roho mbaya alidhani ataishi milele
Hakudhani kuwa ataishi milele, ndiyo maana alikuwa anasema atakapokuwa hayupo ametangulia watu watamkumbuka! Mtu anayesema hivyo hadhani kuwa ataishi milele.
 
Labda maana hata Mimi sikuelewa kwakweli bati kama jiko ya shule aisee...
Kwa uelewa wangu wa ujenzi ni kama kuna ujenzi unaendelea kwa nje na hizo bati zimejengewa ili ujenzi usiharibu wala kuchafua kaburilbda
 
Mbona mnakosa vitu vya kufuatilia jamani hilo banda ni la muda badae litabadilishwa acheni uchochezi wapuuzi nyie wakijenga tu mnaanza kulalamika sijui mko vipi?
 
Hivi wale wanaopiga mbinja kila siku kuwa wanaenzi matendo ya mwenda zake na kuonyesha mapenzi yaliyopitiliza wanaliona hili na kulinyamazia?

Lile banda la bati kwenye kaburi mbona linatia aibu? Yaani halifanyiwi usafi kiasi imekuwa kama zizi la mbuzi?

Yapo mashada ya maua ambayo yaliwekwa siku ya mazishi miezi miwili iliyopita na hivi sasa yamekauka na kuwa uchafu ulio lundikwa kaburini.

Je, hakuna mtu wa kutunza eneo hilo au ni dharau tu?

Wahusika na familia wajitafakari hata kama walikuw hawampendi.

20210515_074744.jpg
 
Hayo ni maua yamekauka tu, watu waliweka kwakuonesha heshima zao hivyo kaburi lingekua nje yangekua yameanza kupotea lakini kwakua ni ndani basi angalau yakae kwa siku 100 ndo yatolewe.
 
Wameachia Serikali...
Hii nchi ina watu wa ajab sana

Mtu ukipata previledge vitu vyote ni serikali, hata sedan serikal ndio unanunua... huku shule za kata hata haijawah kuona spatula
 
===
Mleta mada.
 
Back
Top Bottom