Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Ila Mzee alikuwa mtata sana yule, pengine ukute aliacha wosia kaburi lake liwekewe uzio wa mabati kama alama ya mapenzi yake kwa wanyonge.
 
Maisha haya ni bora umtumikie Mungu tu yafaa ni kufisadi watu, kuumiza watu,kuwaibia,kujilimbikizia kisha vyote ni bure avikusaidii
 
Kaburi la familia ya watu inatuhusu nini sisi? Hebu tuwekee makaburi ya ndugu zako kama angalau hata yana fensi ya mabati,?! Achana na mambo yasiyokuhusu.

Leo hii rais wa wanyonge hatuhusu tena?
 
Hicho hicho kinatosha, Kwanza kilipaswa kiwe cha nyasi tuu ili ukitia kiberiti kinamaliza kazi kabsa!

Hana maana yoyote huyo meko
 
Back
Top Bottom