Mkuu inatuhusu kwasababu alikuwa Rais wa nchi hii, sio kama ndugu zako ambao hawajawahi kuwa ma Rais wa nchi hiiKaburi la familia ya watu inatuhusu nini sisi? Hebu tuwekee makaburi ya ndugu zako kama angalau hata yana fensi ya mabati,?! Achana na mambo yasiyokuhusu.