Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kulikuwa na shida gani kujenga Banda la tofali permanently,ni zoezi la siku 1 au 2 tofali hazizidi hata 500 hadi waamue kujenga Banda la kufugia Kuku ili
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuharakisha kujenga kama mnavyohoji. Nadhani wao na familia ya the late President wapo sawa na hilo
 
Watanzania wengi na hasa generation iliyozaliwa kuanzi 1980s na kuendelea hadi sasa, akili zao zina kasoro..hivi mtu anashindwa kuona ukweli kwa jambo hili? Serikali imetumia pesa zote hizo kwa ajili ya mazishi ya kiongozi halafu ishindwe kutengeneza jengo lenye hadhi ya kiongozi wa nchi..kwa anayejiuliza swali hili atajua within seconds kwamba jengo hilo ni la muda tu kulingana na vile familia watapenda jengo gani lijengwe..siku 40 zimekwisha juzi tu, halafu watu wanalaumu kana kwamba hilo ndio jengo la kudumu!
 
Hata kwa temporary unaona linamfaa Hayati?
 
Hilo kaburi sio kama la babu yangu kule Mtandilyoso. Linahitaji upembuzi yakinifu, design, bajeti na zabuni ya mkandarasi. Sio mchakato wa kulala na kuamka imekuwa.😤😤
 
Hivi Mwendazake kazikwa hapo chini au kwenye hilo Banda mnalotaka lijengwe?

Kwanza huyu katutia hasara sana, hilo lenyewe ni bora kwake kwa sababu pale juu ilitakiwa ziwekwe neti tu zile za Msaada kutoka kwa watu wa Marekani.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wengi na hasa generation iliyozaliwa kuanzi 1980s na kuendelea hadi sasa, akili zao zina kasoro..hivi mtu anashindwa kuona ukweli kwa jambo hili? Serikali imetumia pesa zote hizo kwa ajili ya mazishi ya kiongozi halafu ishindwe kutengeneza jengo lenye hadhi ya kiongozi wa nchi..kwa anayejiuliza swali hili atajua within seconds kwamba jengo hilo ni la muda tu kulingana na vile familia watapenda jengo gani lijengwe..siku 40 zimekwisha juzi tu, halafu watu wanalaumu kana kwamba hilo ndio jengo la kudumu!
Yes mkuu thanks kwa kuona hilo.

Hakika unaweza kugundua akili ya mtu kwa kuhoji au anachoandika, maana kwa akili ya haraka haraka hawa vijana wetu wa (new age) wangejiuliza sehemu mbalimbali kukiwa wamezungusha mabati buwa ni nini kinaendelea humo?.

Jibu lingetosha kujua ahaa kuna ujenzi unafanyika, sasa kwa hapa imekuwa nongwa kwa familia na marehemu pombe.
 
Hii noma sana, hela zote alizokwapua mwendazake enzi za uhai wake mmeshindwa kumjengea Banda la maana kwenye kaburi lake??

Au ni masharti fulani nini tuambizane basiView attachment 1785122

Kuna taratibu za kujengea makaburi.... na muda wa kujengewa hapo bado

Muda ukifika watajenga na usiache kuongeza picha
 
Cha nyerere kiko vip..tunaomba kapicha kake
Kaburi ya Mwl.Nyerere imejengewa chumba cha futi kumi kwa kumi na tano.Mipango miwili ya aluminium na madirisha mawili ya aluminium. Kila siku lazma iwepo Sara na usafi.
Walio toa pesa ya ujenzi ni Chama cha ANC AFRIKA KUSINI
 
Back
Top Bottom