Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nguvu ya Mungu ni ya ajabu sana !Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754