Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Angekuwa ni yeye angetema shit tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuharakisha kujenga kama mnavyohoji. Nadhani wao na familia ya the late President wapo sawa na hiloKulikuwa na shida gani kujenga Banda la tofali permanently,ni zoezi la siku 1 au 2 tofali hazizidi hata 500 hadi waamue kujenga Banda la kufugia Kuku ili
Hilo banda likijengwa atafufuka auHii noma sana, hela zote alizokwapua mwendazake enzi za uhai wake mmeshindwa kumjengea Banda la maana kwenye kaburi lake??
Au ni masharti fulani nini tuambizane basiView attachment 1785122
Usikurupuke....Huu utawala watendaje wengi walikuwa na vinyongo sana , nadhani sasa ndio wanalipa visasi
Hiyo hela iliyokwapuliwa uliiona ...!?Hii noma sana, hela zote alizokwapua mwendazake enzi za uhai wake mmeshindwa kumjengea Banda la maana kwenye kaburi lake??
Au ni masharti fulani nini tuambizane basiView attachment 1785122
Hata kwa temporary unaona linamfaa Hayati?Watanzania wengi na hasa generation iliyozaliwa kuanzi 1980s na kuendelea hadi sasa, akili zao zina kasoro..hivi mtu anashindwa kuona ukweli kwa jambo hili? Serikali imetumia pesa zote hizo kwa ajili ya mazishi ya kiongozi halafu ishindwe kutengeneza jengo lenye hadhi ya kiongozi wa nchi..kwa anayejiuliza swali hili atajua within seconds kwamba jengo hilo ni la muda tu kulingana na vile familia watapenda jengo gani lijengwe..siku 40 zimekwisha juzi tu, halafu watu wanalaumu kana kwamba hilo ndio jengo la kudumu!
Kwani kuna Sheria imevunjwa?Hii noma sana, hela zote alizokwapua mwendazake enzi za uhai wake mmeshindwa kumjengea Banda la maana kwenye kaburi lake??
Au ni masharti fulani nini tuambizane basiView attachment 1785122
Yes mkuu thanks kwa kuona hilo.Watanzania wengi na hasa generation iliyozaliwa kuanzi 1980s na kuendelea hadi sasa, akili zao zina kasoro..hivi mtu anashindwa kuona ukweli kwa jambo hili? Serikali imetumia pesa zote hizo kwa ajili ya mazishi ya kiongozi halafu ishindwe kutengeneza jengo lenye hadhi ya kiongozi wa nchi..kwa anayejiuliza swali hili atajua within seconds kwamba jengo hilo ni la muda tu kulingana na vile familia watapenda jengo gani lijengwe..siku 40 zimekwisha juzi tu, halafu watu wanalaumu kana kwamba hilo ndio jengo la kudumu!
Hii noma sana, hela zote alizokwapua mwendazake enzi za uhai wake mmeshindwa kumjengea Banda la maana kwenye kaburi lake??
Au ni masharti fulani nini tuambizane basiView attachment 1785122
AiseeeBora walizungushie zege kabisa Ili mabeberu wasijeiba
Cha nyerere kiko vip..tunaomba kapicha kakeKwa hadhi yake wasingeshindwa kujenga kwa nguzo na kuezekwa kwa vigae .lakini hili si kama jiko la kijijini?
Kaburi ya Mwl.Nyerere imejengewa chumba cha futi kumi kwa kumi na tano.Mipango miwili ya aluminium na madirisha mawili ya aluminium. Kila siku lazma iwepo Sara na usafi.Cha nyerere kiko vip..tunaomba kapicha kake