Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Ninavyoelewa ni kuwa eneo line sasa hivi lina mvua nyingi sana kwa hiyo sishangai kama walijenga hilo banda kuwa temporarly shelter hadi mmvua zitakapokiwsha
Litakamilika sambamba na ujenzi wa SGR ili kuwe na tafrija ya pamoja katika kuenzi juhudi.
 
hapo ujenzi gani unaendelea ndani ya kijumba cha mabati kidogo kama hivyo??
mbona hakuna dalili za muendelezo hapo [emoji38][emoji16]
FB_IMG_1621042099405.jpeg
 
Mjengo unaloendelea nyuma ya hilo bati ukiisha mtasaga meno.ni swala la muda tu. Tumeweka kwa wajili ya waombolezaji wanaokuja kila siku, huku ujenzi ukiendelea.

Mtulie sindano itawaangia vizuri njengo ukiisha
Tusage meno kwa mfu Ili iweje ,hata kama wanajenga lingine lakini hili Banda la Kuku wangeachana nao bora pangebaki tu wazi na ujenzi mkubwa ukiendelea
 
Hawa wapiga picha wa serikali wanazidiwa akili na wapiga picha wa wasaniii hv kuna umuhimu gani wa kupiga picha ya namna ile maua yaliokauka na yale mabati? Moja ya kazi ya mpiga picha ni kuhakikisha unalinda heshima na utu wa unaempiga picha kwa maana picha inakaa na inaonekana na watu wengi ,viongozi wetu wanapenda sana kila wanalofanya watu wajue ww umekwenda kwenye kaburi kulikuwa na ulazima gani watu wajue ? Vitu vingine ni ujinga sana na upuuzi tu.
 
Hawa wapiga picha wa serikali wanazidiwa akili na wapiga picha wa wasaniii hv kuna umuhimu gani wa kupiga picha ya namna ile maua yaliokauka na yale mabati? Ndo maana nasema viongozi wetu wanapenda sana kila wanalofanya watu wajue ww umekwenda kwenye kaburi kulikuwa na ulazima gani watu wajue ? Vitu vingine ni ujinga sana na upuuzi tu.
Wewe kama ulikuwa unamkubali usingepiga picha eneo hilo. Vinginevyo changanya na zako. Mpango utaendelea kuwa mpango wa kumdhalilisha.
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?

Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.

Wahusika mjitathmini.

View attachment 1784695
View attachment 1784754
Kwa Magufuli alitakiwa kujengewa kibanda cha nyasi kabisa, mshenzi na muuaji mwenye roho mbaya alidhani ataishi milele
 
Back
Top Bottom