Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu yani hiyo ndo imeishaaa wanadamu tuna jeuri tukiwa hai tu ilaa sisi ni takataka kabisaaaa..mbona hakuna dalili za muendelezo hapo [emoji38][emoji16]View attachment 1785460
🤣🤣🤣Alivuliwa nguo zote akazikwa na mkuki na ngozi ya kondoo,
Eti Ni maziko ya kimila
Alikuwa na matatizo sana bwana yule.Yaelekea familia pia imefurahia bwana yule kwendazake...
Lakini unaonaje mwonekano wa hapo mahali, unadhani ni hali inayoonyesha mtu aliyeenziwa? Hilo ndilo jambo.Magu mwenyewe hakutaka makuu, alitaka pesa zikafanye maendeleo ya watanzania hasa wanyoge.....nashangaa watu mnavyojitutumua hapa kudhani kwamba serikali haiwezi kujenga permanent structure hapo, kama waliweza kugharamia mazishi na hilo kaburi la kisasa watashindwa jengo tu, wabongo mmezidi sana kuja na hoja nyepesi kila mara..
Nafikiri kuna kamati ya mazishi waliopewa hilo jukumu, tuwape muda.....ikitokea hali ikiendelea kubaki hivi hivi lazima watu tuulize kulikoni?Lakini unaonaje mwonekano wa hapo mahali, unadhani ni hali inayoonyesha mtu aliyeenziwa? Hilo ndilo jambo.
Mkuu,Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754
Ndefu sana ngoja nisome.kwanzaMkuu,
Ungeuliza swali kwanza hivi:
Je, nani alikuwa mwenyekitui wa kamati ya mazishi ya hayati JPM?
Je, kaburi la hayati JPM liligharamiwa na serikali kuu au srikali ya mkoa wa Geita?
Je, siku kumi za maombolezo kabla hajazikwa tarehe 26/3/2021 tangu tarehe 17/3/2021 zilikuwa hazitoshi kufanya maandalizi ya kaburi hilo na kuwa na hadhi ya Rais?
Je, tatizo lilikuwa gharama au uhaba wa fedha?
Je, kuna mtu alizuia kaburi lisitengezwe kufikia hadhi ya kuzikwa Rais?
Kwanini, mashada ya maua ambayo waombolezaji walikuwa wakiweka simu ya maziko hayajahamishwa na kuhifadhiwa kwa utaratibu wa kueleweka mpaka sasa kiasi inaonesha hayati alizikwa na watu wasiompenda na hawataki kumbukumbu naye tena?
Je, familia ndio ilizuia asijjengewe kaburi lenye hadhi ya Rais ijapokuwa uhai haupo tena?
WITO kwa mamlaka ya NCHI ya JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA
1. Nendeni mkajifunze namna bora kaburi la hayati Maalim Seif Sharrif Hamad lilivyojengwa kwa ustadi na usalama kwa kumubukumbu endelevu
2. Makaburi yafuatayo yaingizwe kwenye kumbukumbu ya taifa: Mwalimu Julius Nyerere, Sheikh Abeid Aman Karume, Benjamin William Mkapa, Dk John Pombe Magufuli, Aboud Jumbe Mwinyi, Dk Omar Ali Juma, Edward Moringe Sokoine, Adamu Sappi Mkwawa, Samwel Sitta. Sanamu zao ziwekwe kwenye Uwanja wa mashujaa DODOMA karibu na stendi uya zamani ya mabasi iwe ni sehemu ya utalii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inatakiwa wajenge banda la zege ili kigogo ashindwe. Kwenda kushusha mzigo pale
Tuwe na huruma jamaniNchi hii ni tajiri sana tunapigwa mno ndiyo size yake hiyo
Ameshafariki tumuheshimu kidogo.Kwa Magufuli alitakiwa kujengewa kibanda cha nyasi kabisa, mshenzi na muuaji mwenye roho mbaya alidhani ataishi milele
Kwani alivojengewa bati atafufuka?Wakijengea vigae atafufuka kuja kukupa udc?
Bado kuna maua ya kumbukumbu kwa familia yake. Ingawa wewe ulifurahia kufa kwake elewa pia kuwa familia yake ilihuzunika.Ili mwendazake asinyeshewe?
Mwavuli tu ungemtosha, asituchoshe....