Hakudhani kuwa ataishi milele, ndiyo maana alikuwa anasema atakapokuwa hayupo ametangulia watu watamkumbuka! Mtu anayesema hivyo hadhani kuwa ataishi milele.Kwa Magufuli alitakiwa kujengewa kibanda cha nyasi kabisa, mshenzi na muuaji mwenye roho mbaya alidhani ataishi milele
Walionekana kawaida kabisa ni kama walijiona wametuwa laana ileBado kuna maua ya kumbukumbu kwa familia yake. Ingawa wewe ulifurahia kufa kwake elewa pia kuwa familia yake ilihuzunika.
Kwa uelewa wangu wa ujenzi ni kama kuna ujenzi unaendelea kwa nje na hizo bati zimejengewa ili ujenzi usiharibu wala kuchafua kaburilbda
Umekasirika?Nenda wewe ukafagie!
Maua yaliyo kauka ni uchafuHayo ni maua yamekauka tu, watu waliweka kwakuonesha heshima zao hivyo kaburi lingekua nje yangekua yameanza kupotea lakini kwakua ni ndani basi angalau yakae kwa siku 100 ndo yatolewe.
Makaburi ya ndugu zako unayakumbuka huko vihambani?Umekasirika?
Huoni kuwa ni fedheha kwenu nyie mnaomuenzi kuwa kahifadhiwa pachafu?
Nani akalisafishe sasa?
Mwisho wa aibu? Fafanua mkuu!Huyu bwana angejua mwisho wake utakuwa wa aibu kiasi hiki asingefanya yale aliyoyafanya
Hahahahahahahahaha..........Nani akalisafishe sasa?