Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Ndio ujue kila mtu alimchukia hadi familia yake
 
"Mtanikumbuka..."

Kumumisi munamumisi sana.. hayo ya kabuki nani amekuambia kwamba kuna kupelekesha familia za watu na jinsi wanaona kwao iwe hivyo?? Tuliza boli.. kwako utakuta pachafu kupita hayo yaliuokauka..

Heshimu ya watu na yao...
 
Hivi hilo hapo ni Kaburi au banda la mifugo? Hii ni aibu.
Sikuona mantiki ya Makamu wa Rais kwenda kuzuru hilo kaburi wakati hata miezi miwili haijaisha toka awepo hapo kwa mazishi.

All in all, Makamu wa rais angeweza kufika kwenye hilo kaburi, lakini picha zisipigwe ili kulinda utu na hadhi ya marehemu aliyezikwa hapo. Busara zilipaswa kutangulia kwanza.
 
"Mtanikumbuka..."

Kumumisi munamumisi sana.. hayo ya kabuki nani amekuambia kwamba kuna kupelekesha familia za watu na jinsi wanaona kwao iwe hivyo?? Tuliza boli.. kwako utakuta pachafu kupita hayo yaliuokauka..

Heshimu ya watu na yao...
Hivi wewe muda wote umelewa au kuandika ndio hujui?
Sidhani kama kuna aliyekuelewa
 
Kila kukicha mnaanzisha thread mpya humu...mkiambiwa mumuenzi kwa vitendo hamtaki....twendeni tukajitolee kusafisha na kujenga maktaba ya kisasa na makumbusho kaburi likiwa ndani...iwe sehemu ya utalii kwa mzalendo namba moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…