Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

@Alexander The Great unasemaje hapa mkuu[emoji23]
 
This only happen in Afrika,
JPM alikuwa jambazi,muhongo,mkabila,the nature Did us good by getting rid of him.
 
Kwa uelewa wangu wa ujenzi ni kama kuna ujenzi unaendelea kwa nje na hizo bati zimejengewa ili ujenzi usiharibu wala kuchafua kaburi
Si waweke hema jeupe na red carpet
Banda bati na hilo vumbi kwa Hayati wetu inahusu??

binafsi haijanifurahisha pia
Wahusika wajitathmini
 
Si waweke hema jeupe na red carpet
Banda bati na hilo vumbi kwa Hayati wetu inahusu??

binafsi haijanifurahisha pia
Wahusika wajitathmini
Hema/turubai haviwezi zuia vitu vizito vikidondoka
 
Hujui unaloliwaza nyamaza.
 
Lakini kwa hili siyo sawa kabisa@ yaani watu wa ujenzi aliofanya nao kazi pamoja wameshindwa kumuenzi kiongozi wao hata kupaweka vizuri hapo kunako nyumba ya milele ya mwendazake!!! Ama kweli duniani tunapita.
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…