MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Mnataka kuwaharibia wapika keki eeh?
Ukifungiwa unalia🤣🤣🤣🤣
Unatuma ujumbe then unakana, ila ujumbe unakuwa ushafika.
Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na kilichotokea.
Tulione ilo bango kwanza..NoreNoelBaada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na kilichotokea.
View attachment 3360861
Nyie mnafanya biashara yenu na mabeberu wanawatia hela za kutosha mlete fujo, yeye mwenzenu anapambana humu humu nchini, na hana gawio mnalopata toka ubelgiji wala kwa akina Mange, mwacheni atafute pesa zisizo na laana ya mashoga.Unajisalimisha kabla hata hujaulizwa aise huu ni uoga uliopitiliza. Kwahiyo nikija nimevaa t-shirt yangu ya no reform hapo kwenye hiyo bar sipewi Huduma?
Ccm mbona ndio kumejaa mashoga aisee wapenda pesa za bure wasizozitolea jasho No reform No electionNyie mnafanya biashara yenu na mabeberu wanawatia hela za kutosha mlete fujo, yeye mwenzenu anapambana humu humu nchini, na hana gawio mnalopata toka ubelgiji wala kwa akina Mange, mwacheni atafute pesa zisizo na laana ya mashoga.
Pigo za Rostam na mahakama za Tz.🤣🤣🤣🤣
Unatuma ujumbe then unakana, ila ujumbe unakuwa ushafika.
Kwanini afungiwe?Ukifungiwa unalia
Hiyo bar ina leseni ya bar na harakati za siasa!?Kwanini afungiwe?
Wangeandika mama mitano tena, ungeukiza hili swali?Hiyo bar ina leseni ya bar na harakati za siasa!?
Mimi ni CCM kuliko wewe na ukoo wako ila sipendi ukandamizaji na uonevu nataka Haki na utawala wa sheria.Nyie mnafanya biashara yenu na mabeberu wanawatia hela za kutosha mlete fujo, yeye mwenzenu anapambana humu humu nchini, na hana gawio mnalopata toka ubelgiji wala kwa akina Mange, mwacheni atafute pesa zisizo na laana ya mashoga.
Hawakuandika hivyo,najadili lililopoWangeandika mama mitano tena, ungeukiza hili swali?
Sio kufungiwa tu na kutekwa na kuteswa na kuuwawaAtuambie ni ujumbe gani huo au ndio hofu ya kuogopa kufungiwa
Kabla ya kufika kwenye hiyo bar utakuwa ushatekwa na kupotezwaUnajisalimisha kabla hata hujaulizwa aise huu ni uoga uliopitiliza. Kwahiyo nikija nimevaa t-shirt yangu ya no reform hapo kwenye hiyo bar sipewi Huduma?
Wapi hii ndinga!
Wapi hii ndinga!