Tetesi: Kibarua cha CAG kuota nyasi

Tetesi: Kibarua cha CAG kuota nyasi

Humu kuna watu huwa wana tabia ya kuandika jambo fulani bila kuwa na ufahamu nalo. Inashangaza kumsikia au kuona watu wakiandika CAG anaweza kutumbuliwa au mwingine anatamka afukuzwe,,,,,!. Acheni ushabiki huyo magufuri hata ubavu wa kumtumbua huyu jamaa hana maana analindwa na sheria ngojeni astaafu au afariki
 
kwa sisi wanafunzi wa Mussa J Assad, hatujastushwa na hili, tunamfahamu hababaishi katika kazi zake.

nikizikumbuka zile 'get five or get zero' ha haa

viva Assad
 
Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.

Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama. Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa. Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge. Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.

Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma? serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
Sidhani kama unajua CAG,Judge & Gavana,.sio watu wa kutumbuliwa kindenzi kama wengine
...anyway_angeshatumbuliwa kitambo sana,..only that Jiwe hana ubavu huo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.

Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama. Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa. Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge. Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.

Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma? serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
uko sahihi
 
Mlivyoambiwa ELIMU ELIMU ELIMU sijui kama mlielewa

Unaujua utaratibu wa kumfuta kazi CAG?

Umeonyesha ujinga wa hali ya juu sana, hivi unaujua utaratibu na sheria za vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano? havikufutwa? je ni taratibu na sheria ngapi za nchi ikiwemo katiba ambavyo vinanavunjwa kila siku? you should think before you defile me
 
Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.

Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama.

Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa.

Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge.

Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.

Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.

Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma?

Serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili

Kutokujua ni sawa sawa na kiza kinene, CAG hawezi kutolewa kwa kauli za kisiasa bali for professional misconduct au yeye mwenyewe aamue kuachia ngazi.
 
Spika Job Ndugai alipaswa kutumia busara kwa kuifanyia kazi kauli ya CAG, lakini ikitokea kwasababu zozote sakata hili likamtoa CAG kwenye kiti chake itakuwa bahati mbaya sana maana nchi itakuwa imepoteza mtu mwenye heshima, anayeijua kazi kazi. Habari jema ni kwamba ataondoka (kama ataondoka) akiwa sifa ya CAG aliye mkweli anayesema ukweli bila kumumunya maneo.
 
dah dah !
naliona jiwe linavyobadilikabadilika rangi
jinsi dili lake la 1.5 tr linavyokomaliwa na Asad hadi bunge linaonekana urojo !
LIVE LONG CAG ASAD MPAKA KIELEWEKE !
kkk !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokujua ni sawa sawa na kiza kinene, CAG hawezi kutolewa kwa kauli za kisiasa bali for professional misconduct au yeye mwenyewe aamue kuachia ngazi.

Hivi unaota au umeshaamka? Tanzania ya sasa hakuna sheria inayoheshimiwa isipokuwa kauli za kisiasa na ndio zinazofanya kazi.
 
Rais hana uwezo wa kumtoa CAG madarakani kwa mujibu wa sheria.

Ila kinachoweza kufanyika ni kumlazimisha kupitia mlango wa nyuma ili CAG ajiuzulu mwenyewe au wajifanye wanampa appointment na kumfanya Balozi somewhere ......... then anatumbuliwa kama alivyofanyiwa yule wa Canada!!

Awamu hii anything is possible ...!!
Hawez kushika nafasi yoyote serikalin baada ya kuachia nafasi yake ya CAG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom