Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

Utakuwa uko milembe,,,,mama ni hadi 2030

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Unaota ndoto mchana Rais Samia anatawala hadi 2040. Utake usitake.
 
Huu ndio wakati wa wapinzani kuwasha moto, otherwise muitwe jina lingine na si wapinzani tens,,! Mmekula maharagwe ya wapi tena

Sisi tunaweza kubashiri mlichopatiwa kwenye hicho kinahoitwa maongezi na mkuu wa nchi,
Kwani na wewe ni mpinzani?? Toka lini?
 
Ndugu yangu usijidanganye na huyo samia, ccm ileile usitarajie faraja ndan ya ccm
 
Ya siasa Kama za kenya za Sasa zinawezekana tz, ila tuwe makini ccm hawaaminiki period nasema, nitashangaa Sana na Sana Kama viongozi wangu wa juu Chadema ,wataingia mguu sawa MOJA KWa MOJA , lazima ,na lazima narudia kua na kipindi Cha mpito
 
Ya siasa Kama za kenya za Sasa zinawezekana tz, ila tuwe makini ccm hawaaminiki period nasema, nitashangaa Sana na Sana Kama viongozi wangu wa juu Chadema ,wataingia mguu sawa MOJA KWa MOJA , lazima ,na lazima narudia kua na kipindi Cha
Ya siasa Kama za kenya za Sasa zinawezekana tz, ila tuwe makini ccm hawaaminiki period nasema, nitashangaa Sana na Sana Kama viongozi wangu wa juu Chadema ,wataingia mguu sawa MOJA KWa MOJA , lazima ,na lazima narudia kua na kipindi Cha mpito
ILI KUMUAMIN HUYU MAMA NA CCM KWANZA MCHAKATO WA KATIBA UKAANZE MARA MOJA, ANGALAU HAPO TUTAAMIANA ZAIDI
 
Ni kweli hawaaminiki
 
Kwani hili jukwaa ni la Mbowe mpaka ususie akiuzA hicho chama? Ok sasa hivi umerudi ndio karudisha hela za mauzo? Na kwanini usirudi na hiyo id yako ya kawaida?
 
Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani.

Lissu amekabifhiwa passport yake leo na balozi wetu.

Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya yenye Upendo na Umoja.

Tundu Lissu amemshukuru sana Rais Samia.

Source: Star tv
 
Kwani hili jukwaa ni la Mbowe mpaka ususie akiuzA hicho chama? Ok sasa hivi umerudi ndio karudisha hela za mauzo? Na kwanini usirudi na hiyo id yako ya kawaida?
Muulize baada ya Mbowe kuuza chama na yeye akaondoka Chadema ilikufa?
 
Leo tayari Tundu Lissu amepewa Passport yake iliyokuwa imepotea.

Hadidu z rejea namba 2✌✌✌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…