Kibatala awataka Ndugai na Mahera mahakamani


..Sikiliza maelezo ya John Mnyika hapa.

 
Pole saana, hukujaaliwa stadi za uchambuzi.
 
nini Ndugai,hata Jiwe anaweza kuitwa
Sijuwi Kama Kuna jitu katili Kama jiwe najaribu tuu kuwaza toka nakua mpka umri huu sijawahi ona jitu katili Kama Lile dubwana. Matendo ambayo tulikuwa tunasimuliwa alikuwa anayafanya Dikteta Hitra na nduli Idd Amin ndio alikuwa likifanya lenyewe. Na ashukuriwe Mungu mkuu na hata Kama Kuna mkono wa mwanadamu basi unastahili tuzo kwa kazi nzur iliyo tukuka.
 
Maamuzi ya Jaji au matakwa ya sheria?
 
Huna akili kwani Ndugai aliwapitisha kama watoto wake au kama Spika??

Kwani kahama na ofisi yake??

Si kuna spika mwingine??

Wakati mwingine utumie ubongo badala ya miguu kufikiri.
Kwa nafasi ileile aliyokuwa nayo na kwa matendo yale aliyofanya sasa anatakiwa akajibu
 
Hizi ni kesi tofauti.

Jaribu kwanza kuzifahamu ndio uzilinganishe.
Kesi tofauti ndio Nini!? Acha porojo. Rais mstaafu aliingia mahakama kama shahidi wa utetezi, itakuwa huyo spika aliyefukuzwa kazi! Endelea kujifanya mwehu.
 
Kesi tofauti ndio Nini!? Acha porojo. Rais mstaafu aliingia mahakama kama shahidi wa utetezi, itakuwa huyo spika aliyefukuzwa kazi! Endelea kujifanya mwehu.
Huwezi kuwa unafahamu ndio maana ukaleta huo mfano.
 
Kwani wewe kada wa CCM, wakati huo wanapokelewa akina Halima Mdee, ulikuwa hujui kuwa Spika wa Bunge alikuwa Ndugai na wala hakuwa Tulia Ackson?[emoji28]
Kibatala anatakiwa a deal na office ya Bunge na siyo Ndugai!!
 
Ni afadhari Serikali ingeiambia Mahakama kuipiga kalenda kwa muda mrefu hii kesi kuliko kuaibika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…