Hii kesi inaenda kumuumbua mnyika na mbowe hivi unafikiri hao kina dada ni wajinga mpaka walazimieshe kesi? Mnyika ndiyo alipeleka majina angekuwa hajapeleka angeshaga fungua kesi muda mrefu ya kufojiwa kwa sahihi yake kwanini Yuko kimya? Kibatala kafichwa hajui anakuja kuropoka tu hapa eti anamtaka ndugai nawaambiaga kibatala siyo mwema kwa chadema hata Sheria hazijui anatumia umaarufu tu ndiyo maana hata kesi ya mbowe ilimshinda ashukuru viongozi wa dini waliomuombea kwa mama akaachiwa angepata aibu ya mwaka na uwakili angeacha
..Sikiliza maelezo ya John Mnyika hapa.