Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika power breakfast ya clouds FM amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya.
View attachment 1842161
"Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo.
Hoja hupingwa kwa hoja. Barikiwa sana wakili msomi.
Sanamu la Chato lilikupiga mbele na nyuma likapita vile.....umabaki kulia liaKwa nini kipindi cha lile lisanamu la Chato hakukukuwa na hizi hamsha hamsha.
Unatetea masanamu we boyaSanamu la Chato lilikupiga mbele na nyuma likapita vile.....umabaki kulia lia
LilishakumalizaUnatetea masanamu we boya
wateule na wabunge woteLipo kundi jingine la watu ambao wanaonekana kupinga suala la katiba mpya hadharani lakini deep down inside wanaitaka.
Hayo yote unayodhani yatawezeshwa na Katiba Mpya yanaweza kubaki ndoto za alinacha. Kwa sababu moja kuu: tatizo sio sheria mpya, nzuri au kali bali tatizo kubwa si kwa watawala wetu bali Watanzania kwa ujumla ni katika kuheshimu sheria. Hebu tupia jicho hapo mtaani unapoishi, ni watu wangapi wanakiuka "sheria za ndoa"? Sasa kama watu hawaheshimu sheria "binafsi," miujiza gani itafanya sheria za kwenye Katiba mpya ziheshimiwe?Kiswahili kimekuwa kigumu kiasi hiki?
Maslahi ya watu kwa sababu ya njaa za matumbo yao na familia zao. Vipi hayo yanaweza linganishwa na maslahi haya:
Mwananchi wa kawaida anayejielewa, anayekataa kuendelea kubambikiziwa kesi, kuendelea kudhulumiwa, kuendelea kubebeshwa mizigo ya kodi za wengine nk.
Au hata yule anayetaka mihimili ya utawala iliyo na uhuru kamili, anayetaka usawa, anayetaka uwajibikaji, anayetaka mawazo yake kusikilizwa nk.
Seriously, haikuingii akilini kuwa kwanini hapo pana tofauti?
Au ni ile mambo ya kujitia hamnazo?
Sanamu la Chato lilikupiga mbele na nyuma likapita vile.....umabaki kulia lia
Wewe ni mwananchi wa tanzania au somalia.sisi kama wananchi tunasema kwa sasa mambo ya katiba mpya hatutaki, labda hadi mwaka 2040.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi huu. FutaHayo yote unayodhani yatawezeshwa na Katiba Mpya yanaweza kubaki ndoto za alinacha. Kwa sababu moja kuu: tatizo sio sheria mpya, nzuri au kali bali tatizo kubwa si kwa watawala wetu bali Watanzania kwa ujumla ni katika kuheshimu sheria. Hebu tupia jicho hapo mtaani unapoishi, ni watu wangapi wanakiuka "sheria za ndoa"? Sasa kama watu hawaheshimu sheria "binafsi," miujiza gani itafanya sheria za kwenye Katiba mpya ziheshimiwe?
How? Fafanua tafadhaliAta wanao taka katiba mpya ni maslahi binafsi
Haina noma......limebaki skeletoni tu.
Anachoongea Peter Kibatala leo na wanachoongea Chadema ni vitu viwili tofauti, Kibatala anaongelea kumalizia mchakato wa Katiba pendekezwa lakini Chadema hawaongelei kumalizia mchakato. Kwa wajibu wa Mheshimiwa Mbowe "tunamtaka Rais aunde tume ya Katiba..." tume ambayo kisheria ilishamaliza muda wake, kilichosalia ni huo mchakato wa kutangazwa gazeti ni na Tume ya Uchaguzi kusimamia mchakato wa kura ya maoni. Maana yake Katiba Mpya ipo katika mhutasari wa KATIBA PENDEKEZWA Kilichosalia ni mchakato wa kuipitisha au kuikataa.