feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,189
Kuna wakati huwa unajiona hujafanikiwa lakini ukiwaangalia wenzio unajikuta unasema ahsante Mungu mana unaona kabisa kama unakufuru.
Wakati wewe ukiona bado unataka ufike hatua fulani Kuna mwengine anatamani kuwa kama wewe au angalau akukaribie.
Binadamu huwa haturidhiki tukipata tunataka kuongeza tena na tena