Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

Kuna wakati huwa unajiona hujafanikiwa lakini ukiwaangalia wenzio unajikuta unasema ahsante Mungu mana unaona kabisa kama unakufuru.
Wakati wewe ukiona bado unataka ufike hatua fulani Kuna mwengine anatamani kuwa kama wewe au angalau akukaribie.
Binadamu huwa haturidhiki tukipata tunataka kuongeza tena na tena
 
Kabisa tujifunz kurizika.
 
mimi nimejiriwa nina familia na watoto watatu wanasoma ninamiliki nyumba moja na nyingine ipo kwenye usawa wa linta nina kiwanja kimoja ila najiona maskini wakutupwa.astafirullah
Ww utakuwa na matatizo mana kibongo bongo ukiwa na nyumba moja na kigari hata ki vitz n tajiri kimtindo flan ila nahis huko kazin kwako utakuwa unapata hela kwa magumashi ssndo unafikir ivo havitosh ila ungekuwa unapata kihalali ungejiona mtu uliebarikiwa sn amin nakwambia
 
Japokuwa nimechelewa kusoma Hili bandiko ila nimo nimo kbsa.
 
Back
Top Bottom