Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote ikiwa itawapoteza mateka wake wote waliobakia mikononi mwa Hamas, kasi na nguvu ya operation zake za kivita ardhini imeongezwa maradufu kuelekea upande wa kusini mwa Gaza ili kufuta uchafu wowote wa kigaidi!

Embu sote tujiulize haya maswali ya msingi ili kupima upeo wa wapalestina na kiburi cha Hamas:

1. Kulikuwa na ulazima wowote wa Hamas kufanya tukio la 7 oktoba?

2. Hamas ilifahamu nini kibaya dhidi yao na wapalestina kingefuata kutoka kwa Israel baada ya tukio lile?

3. Wapalestina wanafaidika nini kuendelea kuwakumbatia Hamas mpaka leo hii?

4. Wapalestina walikuwa wanajua gharama za kuwakumbatia Hamas zikoje?

5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?

6. Kama tangu mwanzo Wapalestina, Hamas na dunia nzima wanajua wazi mwisho wa vita hii Hamas itakuwa kwa sehemu kubwa imefutika kabisa, wapalestina wengi wamekufa na eneo karibu lote la Gaza kuwa chini ya udhibiti wa Israel, kwanini waligoma kusalimu amri mapema tu?

7. Kwanini wapalestina (wanawake, watoto, vijana na wazee) walishangilia na kusheherekea kwa shangwe kubwa tukio la Hamas la 7oktoba la kuvamia, kuteka, kuua raia wasiokuwa na hatia wa israel na mataifa mbalimbali?

Walijua nini kingefuata?

Walishindwa kulaani na kuomboleza?

8. Kuna ulazima gani kwa Hamas kuendelea kushikiria mateka wa kiyahudi mpaka leo hii?

9. Kwanini wapalestina walishindwa kutumia vyema muda wa usitishaji mapigano? Nini mantiki ya kubakia hapo hapo kwenye uwanja wa vita kama hawako tayari kufa, kujeruhiwa au kuishi kwa mateso wakati kuna upenyo wa kuondoka umetolewa?

Kwanini Hamas haikutumia huo muda kusalimu amri ili kuepusha umwagaji damu kuendelea?

10. Ni vipi mpaka leo hii wapalestina bado hawajagundua kuwa wao wanatumika na baadhi ya mataifa ya kiarabu kama chambo tu ya kupambana na Israel?

Kwanini hawajiulizi mataifa ya kiarabu yanaishia kulaani tu lakini hawapeleki askari wao kule kupigana?

UJINGA NI MAUTI...
KIBURI NI KABURI....
AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO...
Ww unaona mwenye kiburi ni nan hapo
 
Ngoja ndugu wa wapalestina katika imaan waje
 
Hamas kundi teule
Mleta mada tukukumbushe suala la israhell kuifuta hamas hilo suala yaani ulisahau kabisaaa
Maafa yaliotokea na Yanayoendelea kutokea ghaza bila ubishi nimakubwa sana sanaa
Ila israhell kuifuta hamas na kuikalia ghaza na kukomboa mateka wake haya usahau
Kusema kwamba kakubali mateka wake wafe sio kwamba kapenda nikwamba tu hawezi kuwakomboa
Halaf hii israhell si ndio ilipigana na mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita tu nakuwatwanga[emoji1787][emoji3][emoji1787]
Hii israhell si ndio iliokoa mateka wake. Pale entebee kwa 72hrs tu kama sijakosea ila inashindwa kuwaokoa magaidi wake waliopo hapo jirani
Israhell ilikua overrated sana na media mbwa hawa
 
Mtaita maji ma....
 
Wangelipiza hicho kisasi kwa kiasi walichochokozwa, sasa kisasi kimekuwa zaidi ya na vile walivyochokozwa. Kunawekwa makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda ila muda ulivyoisha bado et anaendelea tu kuteketeza watoto wadogo.

Yule anaitwa Myahudi, anafuata sheria za mababu zake akina Musa, yaani ukimchokonoa subiri kufutwa wewe na kizazi chako.
Mlijue hilo ili muepukane na Myahudi, achaneni naye, endeleeni kuchinja Wakristo ila kwa Myahudi kaeni mbali naye.
 
Hamas kundi teule
Mleta mada tukukumbushe suala la israhell kuifuta hamas hilo suala yaani ulisahau kabisaaa
Maafa yaliotokea na Yanayoendelea kutokea ghaza bila ubishi nimakubwa sana sanaa
Ila israhell kuifuta hamas na kuikalia ghaza na kukomboa mateka wake haya usahau
Kusema kwamba kakubali mateka wake wafe sio kwamba kapenda nikwamba tu hawezi kuwakomboa
Halaf hii israhell si ndio ilipigana na mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita tu nakuwatwanga[emoji1787][emoji3][emoji1787]
Hii israhell si ndio iliokoa mateka wake. Pale entebee kwa 72hrs tu kama sijakosea ila inashindwa kuwaokoa magaidi wake waliopo hapo jirani
Israhell ilikua overrated sana na media mbwa hawa
Muda ni mwalimu !!! Ni suala la muda ukweli utajulikana!! Ila Nina uhakika hamas wanatuja Kwa kitu wanachikutana nacho
 
Yaliyotokea October 7,hayakutokea tu, yana chanzo chake,yalianza tangu 1948!, hakuna mbadala ardhi yako ikichukuliwa, lazima upambsne tu, palestins IPO vitani tangu 1948 jews walipovsmia na kuanza kuwafurusha kwenye maeneo yao!vitani lazima watu wafe,its collateral damage,
Kwa busara zako wewe, je ulitaka kwa mfano wananchi wa South Afrika wasipsmbsne na msksburu kwa vile makaburu ni wakatiri Sana waliua watoto wa shule,(sharp ville massacre Sept 16,1972)!? Yaani uache kupambania haki yako, kiss unsogopa kufa!.?
Kama wananchi wa South wangeogopa, Leo hii South ingekusje?
Kinachoendelea palestina ni kama ilivyokuwa apartheid regime ya South Afrika, Ili vizazi vijavyo vije viishi vzr, sasa hv, lazima watu wafe tu katika mapambano,
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"

Anachofanya Israeli ni kujilinda dhidi ya ugaidi.
 
Wangelipiza hicho kisasi kwa kiasi walichochokozwa, sasa kisasi kimekuwa zaidi ya na vile walivyochokozwa. Kunawekwa makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda ila muda ulivyoisha bado et anaendelea tu kuteketeza watoto wadogo.

Wameamua kukata mzizi wa fitna kabisa ila siku nyingine kusitokee tena mashambulizi ya kigaidi.
 
Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote ikiwa itawapoteza mateka wake wote waliobakia mikononi mwa Hamas, kasi na nguvu ya operation zake za kivita ardhini imeongezwa maradufu kuelekea upande wa kusini mwa Gaza ili kufuta uchafu wowote wa kigaidi!

Embu sote tujiulize haya maswali ya msingi ili kupima upeo wa wapalestina na kiburi cha Hamas:

1. Kulikuwa na ulazima wowote wa Hamas kufanya tukio la 7 oktoba?

2. Hamas ilifahamu nini kibaya dhidi yao na wapalestina kingefuata kutoka kwa Israel baada ya tukio lile?

3. Wapalestina wanafaidika nini kuendelea kuwakumbatia Hamas mpaka leo hii?

4. Wapalestina walikuwa wanajua gharama za kuwakumbatia Hamas zikoje?

5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?

6. Kama tangu mwanzo Wapalestina, Hamas na dunia nzima wanajua wazi mwisho wa vita hii Hamas itakuwa kwa sehemu kubwa imefutika kabisa, wapalestina wengi wamekufa na eneo karibu lote la Gaza kuwa chini ya udhibiti wa Israel, kwanini waligoma kusalimu amri mapema tu?

7. Kwanini wapalestina (wanawake, watoto, vijana na wazee) walishangilia na kusheherekea kwa shangwe kubwa tukio la Hamas la 7oktoba la kuvamia, kuteka, kuua raia wasiokuwa na hatia wa israel na mataifa mbalimbali?

Walijua nini kingefuata?

Walishindwa kulaani na kuomboleza?

8. Kuna ulazima gani kwa Hamas kuendelea kushikiria mateka wa kiyahudi mpaka leo hii?

9. Kwanini wapalestina walishindwa kutumia vyema muda wa usitishaji mapigano? Nini mantiki ya kubakia hapo hapo kwenye uwanja wa vita kama hawako tayari kufa, kujeruhiwa au kuishi kwa mateso wakati kuna upenyo wa kuondoka umetolewa?

Kwanini Hamas haikutumia huo muda kusalimu amri ili kuepusha umwagaji damu kuendelea?

10. Ni vipi mpaka leo hii wapalestina bado hawajagundua kuwa wao wanatumika na baadhi ya mataifa ya kiarabu kama chambo tu ya kupambana na Israel?

Kwanini hawajiulizi mataifa ya kiarabu yanaishia kulaani tu lakini hawapeleki askari wao kule kupigana?

UJINGA NI MAUTI...
KIBURI NI KABURI....
AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO...
Jibu ni kwamba
1.Hamas wameshinda kwasababu wamesha pata huruma waliyo itaka, dunia sasa iko upende wa Hamas ni ushindi mkubwa huo, ingawa kiundani sio dunia iko upande wao bali ni wanafaki ndio wako upande wao , wanao pretend wana support Hamas kwa kujua wasipo onekana wana fanya hivyo basi ina weza letea matatizo makubwa kiusalama wao.
2. Wapalestina sio wajinga kama tunavyodhani, wengi waliondoka mapema baada ya kutangazwa vita , kilicho fanyika ni Hamas ni kuongeza idadi maradufu ya vifo ili ionekane ni mauaji ya kutisha yamefanyika ili dunia isimame nao . Kama unakumbuka Israel ili punguza idadi ya vifo baada kupata mahesabu sahihi . Wapalestina wanatambua Israel hwana mchezo unapo wa hatarisha maisha yao , na wakikuambia muda fulani tunapiga eneo husika , hupiga eneo husika na Wapalestina wanalijua hilo na hawakuwa wajinga kubaki .
Tumuulize Faiza Foxy kwanini wapalestina hawakuondoka na walipewa muda wa kutosha kuondoka eneo na walitarifiwa hadi idadi ya majengo yatakato pigwa?
 
Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote ikiwa itawapoteza mateka wake wote waliobakia mikononi mwa Hamas, kasi na nguvu ya operation zake za kivita ardhini imeongezwa maradufu kuelekea upande wa kusini mwa Gaza ili kufuta uchafu wowote wa kigaidi!

Embu sote tujiulize haya maswali ya msingi ili kupima upeo wa wapalestina na kiburi cha Hamas:

1. Kulikuwa na ulazima wowote wa Hamas kufanya tukio la 7 oktoba?

2. Hamas ilifahamu nini kibaya dhidi yao na wapalestina kingefuata kutoka kwa Israel baada ya tukio lile?

3. Wapalestina wanafaidika nini kuendelea kuwakumbatia Hamas mpaka leo hii?

4. Wapalestina walikuwa wanajua gharama za kuwakumbatia Hamas zikoje?

5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?

6. Kama tangu mwanzo Wapalestina, Hamas na dunia nzima wanajua wazi mwisho wa vita hii Hamas itakuwa kwa sehemu kubwa imefutika kabisa, wapalestina wengi wamekufa na eneo karibu lote la Gaza kuwa chini ya udhibiti wa Israel, kwanini waligoma kusalimu amri mapema tu?

7. Kwanini wapalestina (wanawake, watoto, vijana na wazee) walishangilia na kusheherekea kwa shangwe kubwa tukio la Hamas la 7oktoba la kuvamia, kuteka, kuua raia wasiokuwa na hatia wa israel na mataifa mbalimbali?

Walijua nini kingefuata?

Walishindwa kulaani na kuomboleza?

8. Kuna ulazima gani kwa Hamas kuendelea kushikiria mateka wa kiyahudi mpaka leo hii?

9. Kwanini wapalestina walishindwa kutumia vyema muda wa usitishaji mapigano? Nini mantiki ya kubakia hapo hapo kwenye uwanja wa vita kama hawako tayari kufa, kujeruhiwa au kuishi kwa mateso wakati kuna upenyo wa kuondoka umetolewa?

Kwanini Hamas haikutumia huo muda kusalimu amri ili kuepusha umwagaji damu kuendelea?

10. Ni vipi mpaka leo hii wapalestina bado hawajagundua kuwa wao wanatumika na baadhi ya mataifa ya kiarabu kama chambo tu ya kupambana na Israel?

Kwanini hawajiulizi mataifa ya kiarabu yanaishia kulaani tu lakini hawapeleki askari wao kule kupigana?

UJINGA NI MAUTI...
KIBURI NI KABURI....
AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO...
Ujinga wa chadema kumewaangamiza akina Sanane na Mwangosi? Kwanini wakaanzisha Chama?
 
Makaburu bado wapo south na wameshika uchumi kwa kiasi kikubwa sana na kuna miji mtu mweusi haruhusiwi kuishi achilia mbali kupita tu. Struggle za south bado zipo ila saiv wamehamishia kuua waafrica wenzao raia wa mataifa mengine

Ya south ni tofauti na hamas wanaobaka na kuchoma moto waisrael
Yaliyotokea October 7,hayakutokea tu, yana chanzo chake,yalianza tangu 1948!, hakuna mbadala ardhi yako ikichukuliwa, lazima upambsne tu, palestins IPO vitani tangu 1948 jews walipovsmia na kuanza kuwafurusha kwenye maeneo yao!vitani lazima watu wafe,its collateral damage,
Kwa busara zako wewe, je ulitaka kwa mfano wananchi wa South Afrika wasipsmbsne na msksburu kwa vile makaburu ni wakatiri Sana waliua watoto wa shule,(sharp ville massacre Sept 16,1972)!? Yaani uache kupambania haki yako, kiss unsogopa kufa!.?
Kama wananchi wa South wangeogopa, Leo hii South ingekusje?
Kinachoendelea palestina ni kama ilivyokuwa apartheid regime ya South Afrika, Ili vizazi vijavyo vije viishi vzr, sasa hv, lazima watu wafe tu katika mapambano,
 
Ndio sawa na Ukraine, kams angekubali yaishe tu angezuia vifo na maafa mengi tu ila kakaza shiko et anapigania nchi yake matokeo yake ni maafa si nchini kwake tu bali sehemu kubwa ya dunia.

Duniani kuna ujinga mwingi sana.
Vita ya Ukraine na Russia ni tofauti kabisa. Ukraine hakwenda Russia kushambulia ili kuchokoza, mzozo wote ulikuwa kwenye mazungumzo ya kumalizika kwa Amani lakini Russia alikuwa tayari kuingia vitani, Nchi ya magharibi zikampa backup Ukraine ya kumsaidia kupigana vita.

Upande wa pili, kusalimu amri huenda kusingeweza kuepukika kwa Ukraine lakini kitendo cha Russia kuingia kichwa kichwa kuliipa nguvu Ukraine kugoma kusalimu amri.
 
Back
Top Bottom