Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

Ungekuwa Twitter/X ningesema unavuna impressions/engagement ili upate gawio la pesa kutoka kwa Elon. Ila kwa JF sijui hata watu mnafaidika na nini kuandika upuuzi kiasi hiki. Samahani, ila inakera sana kusoma upuuzi.
 
Kama ungetafuta na mabaya Israel dhidi ya Palestine kabla ya lile shambulio ingekuwa vizuri

Lakini shida umeegemea upande mmoja kana kwamba waisrael na Wapalestina walikuwa wanaishi vizuri kabla ya lile shambulio
 
Hamas wafichua ujinga wa netanyahu haijawahi kutokea tangu 1947 israel kushutumiwa na hadi kuanza kuengwa na jumuia ya kimataifa ikiwemo marekani yenyewe amba ndio mleezi wa israel.
Bila ya hamas tusingejua kwamba israel mweupe kwenye vita na intelligence kama anavyojitutumua zaidi ya miezi miwili kashondwa kumuokoa hata mateka mmoja
Na marekani inaelekea kumchoka netanyahu na imeweka ban kwa israel settlers wote wataonyanyasa mpalestina na imemshutumu netanyahu hachukui hatua ndio maana imeingilia , bila ya hamas haya tusingeyajua
 

Attachments

  • Screenshot_20231206-114407_Chrome.jpg
    144.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231206-114256_Instagram.jpg
    140.6 KB · Views: 3
Jina langu tu linapingana na hiki ulichokiandika.
Nyie watu mna shida sana!

Kha pole sikuangalia jina, maana mimi hujibu kulingana na unavyokuja......
Hata hivyo tazama video za walichokua wanafanya HAMAS siku ile, unachopaswa kufahamu Myahudi ni katili sana, ukimfanyia ukatili usije ukalia wakati anajibu.
 
5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?

Mkuu bila kujali uko upande gani katika vita hii.
Comment yako imekosa utu na uungwana.
1. Waende wapi?(Jibu lako linaweza kuwa sehemu salama kwao bila shaka)
2. Kwa mechanism gani ya kuondoka hapo walipo kwenda safe zone?
3. Hali zao za kiuchumi (particulary hao uliowataja) zikoje kuweza kuondoka hapo walipo kwenda palipo salama

Mwisho ushawahi kuwepo eneo la vita walau kwa dakika hata mbili tu mkuu?
 
sio kiburi ni haki yao na sikia nikwambie kuwa hakuna anayeweza kuwamaliza hamas
HAMAS watamalizika kwa mtindo wa kikundi hicho kutokuwepo Hai tena (Defunct)ila masalia ya waliokuwa ni washiriki wa kundi hilo watajitoa ubabe wao wa kijinga na kuwa raia wema na watiifu kwa serikali itakayokuwepo Palestina i.e. Hawatajihusisha tena na Ugaidi wala kubeba bunduki na maguruneti.
 
Huu ni uharo wa kiwango cha juu kabisa.
Eti Israel haijutii kupoteza mateka unaandika fikra zako 😂
 

Attachments

  • IMG_7481.jpeg
    78 KB · Views: 3
Elon Musk: “If you kill someones child in Gaza, you have made a few new Hamas members”🇮🇱
 
Angesalinu amri ya kutekwa maeneo yake na kutawaliwa. Nyie majitu mbona ni majinga majinga hivi?
Wewe kumbe punguani unajifanya kulalamika kwa mods sasa wewe unawaita watu Majinga Majinga wewe utakuwa Shoga lazima.
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
Wenye uwezo wa kulipiza kwa Israel ndio washirika wake. Amini nakuambia wote watailaani Israel kwa maneno tu.
Julize wataalamu na wamikliki wa viwanda vya vifaa vy kijeshi ni akina nani?
 
HAMAS hawako sahihi ISRAEL hawako sahihi kabisa,hawa wote wanatenda kinyume na taratibu za MWENYEZIMUNGU (kama unaamini katika MUNGU) kwa maana hao wote ni wamoja kwa maana ni waharibifu
Hakuna mawili wala nini, hapo nilipokuquote ndio jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…