Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hamas kundi teuleMtaita maji ma....
Maji sio nitaita naendelea kuita maji ni mma
Una jengine mdogo wangu[emoji3][emoji41][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas kundi teuleMtaita maji ma....
Ndio hayo hayo ya Israel na Hamas.Angesalinu amri ya kutekwa maeneo yake na kutawaliwa. Nyie majitu mbona ni majinga majinga hivi?
Hawakuangamizwa kwa miaka 75 sasa wataangamizwa leo?
Jwani kupigwa na kuuliwa Wapalestina kumeanza leo?
Wacha mashaheed wapigane mpaka dakika ya mwisho.
Ni heri ufe unapigana kishuja
Marekebisho sio huyo muislamu ni mjinga bali waislamu ni wajinga, washari na wanafiki sana. Sasa utajiuliza kuswali kati kati ya restaurant mantik yake nini ?! Kuna mwingine alizuia ndege isiruke na abiria wasiingie kisa ni muda wa kuswali na yeye anaswali kwanza ndani ya ndege, ili hali pale Airport ya Philipines kuna vyumba vingi tu vimetengwa kwaajili ya kuswali.Huyu Muislam ni mjinga, why afanye ibada hapo?
Ukipita mbele yake ataanza kulalamika
Hizo zote ni porojo zako tu.Marekebisho sio huyo muislamu ni mjinga bali waislamu ni wajinga, washari na wanafiki sana. Sasa utajiuliza kuswali kati kati ya restaurant mantik yake nini ?! Kuna mwingine alizuia ndege isiruke na abiria wasiingie kisa ni muda wa kuswali na yeye anaswali kwanza ndani ya ndege, ili hali pale Airport ya Philipines kuna vyumba vingi tu vimetengwa kwaajili ya kuswali.
Hawa ndio wanafanya dini yenu ionekane na kuthibitika kua ni dini ya unafiki, ukorofi na shari FaizaFoxy Malaria 2
uislamu ni ugonjwa wa akili mkuu acha kubishana na huyo kenge hawezi kukuelewa kitukama hujui jibu bas huna akili , Hamas amekuwa anarusha Rocket ndan ya Israel tangu mwaka 2017 ila Israel hajawai kujibu zaid ya kupangua , ebu waislam muwe mnafuatilia mnakuwa wajinga wa dini yenu hiyo
Sijaona nchi yenye pis Kali kama zile! Nashangaa makamanda wa islaer wanapataje ujasir wa kuzitwanga mabom pis Kali kama zile badala ya kujisevia[emoji3059][emoji3059]Ila palestina kuna Pisi Kali sana I see
Ni kweli maana wakristo Mungu wao ni wa amani na yeye pekee ndio hufanya visasi.Yule anaitwa Myahudi, anafuata sheria za mababu zake akina Musa, yaani ukimchokonoa subiri kufutwa wewe na kizazi chako.
Mlijue hilo ili muepukane na Myahudi, achaneni naye, endeleeni kuchinja Wakristo ila kwa Myahudi kaeni mbali naye.
ushahidi nitakuwekea hapa wa ndugu yenu katika imami wa Philipines. Kuhusu hapa Tanzania mbona pia mifano ya ushari wa uislamu ni mingi sana.Hizo zote ni porojo zako tu.
Weka ushahidi kama u mkweli.
Wewe hapa Tanzania hauishi na Waislam? Walikuchokoza nini?
Cheki huyu Mama, nahisi nimewahi kumtongoza binti yako, alikuwa ni binti mdogo ila too extremist.Hizi ni porojo za kizayuni tu.
Suleiman ni Muislam.
Mkuu hawa watu ni wabishi ajabu hata Musa wanasema ni muislamu wanauida nabii Musa na ni muislamu ili hali liko wazi alikua kiongozi wa Wayahudi. 😄 😄 inahitaji ujuha wa hali ya juu kua muislamuCheki huyu Mama, nahisi nimewahi kumtongoza binti yako, alikuwa ni binti mdogo ila too extremist.
Suleiman alikuwa Mfalme wa Wayahudi/Israel au Wapalestina?
FaizaFoxy Jina zuri, ila Akhera imekuharibu fikra.
Marehemu ndiye aliyeanzisha uchokozi.Umeamua kuchagua upande,
Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
Leo Msemaji wa Hamas mh Osama alikuwa anaongea na Waandishi wa Habari huku machozi yyanamto
Kama huna nguvu za kuwashinda, ungana nao.Ww unaona mwenye kiburi ni nan hapo
Osama kawaangukia MarekaniKama huna nguvu za kuwashinda, ungana nao.
Hii inshu haina ufanano hata kidogo na inshu ya Apartheid..Yaliyotokea October 7,hayakutokea tu, yana chanzo chake,yalianza tangu 1948!, hakuna mbadala ardhi yako ikichukuliwa, lazima upambsne tu, palestins IPO vitani tangu 1948 jews walipovsmia na kuanza kuwafurusha kwenye maeneo yao!vitani lazima watu wafe,its collateral damage,
Kwa busara zako wewe, je ulitaka kwa mfano wananchi wa South Afrika wasipsmbsne na msksburu kwa vile makaburu ni wakatiri Sana waliua watoto wa shule,(sharp ville massacre Sept 16,1972)!? Yaani uache kupambania haki yako, kiss unsogopa kufa!.?
Kama wananchi wa South wangeogopa, Leo hii South ingekusje?
Kinachoendelea palestina ni kama ilivyokuwa apartheid regime ya South Afrika, Ili vizazi vijavyo vije viishi vzr, sasa hv, lazima watu wafe tu katika mapambano,
Sasa hilo ni tatizo la Hamas au IDF??Unajua kama hayo mashambulizi ya kisasi yangeelekezwa moja kwa moja kwa hao wahusika basi isingekuwa shida ila unauwa wasio na hatia kwa kikatili huku hao wahusika wakijificha huko sasa si inakuwa ni ujinga nao.
Ni mbumbumbu tu anaweza kukosa majibu kwa swali jepesi kama hilo.Hapo kwenye UJINGA namba 5 hata Mimi nimejiuliza Hilo swali nimekosa majibu kabisaa!!!
Kuna mawiliWalichokifanya hamas ndio kinakubalika na dunia yote?!
Kwa kipigo anachokitoa Israel naamini hawa jamaa hawatokaa warudie kamwe.Kumbe dawa ya moto ni moto aisee.Sasa hilo ni tatizo la Hamas au IDF??