Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ipi mbona Mimi nawaunga mkonoUmeamua kuchagua upande,
Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
Wewe pimbiKinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote ikiwa itawapoteza mateka wake wote waliobakia mikononi mwa Hamas, kasi na nguvu ya operation zake za kivita ardhini imeongezwa maradufu kuelekea upande wa kusini mwa Gaza ili kufuta uchafu wowote wa kigaidi!
Embu sote tujiulize haya maswali ya msingi ili kupima upeo wa wapalestina na kiburi cha Hamas:
1. Kulikuwa na ulazima wowote wa Hamas kufanya tukio la 7 oktoba?
2. Hamas ilifahamu nini kibaya dhidi yao na wapalestina kingefuata kutoka kwa Israel baada ya tukio lile?
3. Wapalestina wanafaidika nini kuendelea kuwakumbatia Hamas mpaka leo hii?
4. Wapalestina walikuwa wanajua gharama za kuwakumbatia Hamas zikoje?
5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?
6. Kama tangu mwanzo Wapalestina, Hamas na dunia nzima wanajua wazi mwisho wa vita hii Hamas itakuwa kwa sehemu kubwa imefutika kabisa, wapalestina wengi wamekufa na eneo karibu lote la Gaza kuwa chini ya udhibiti wa Israel, kwanini waligoma kusalimu amri mapema tu?
7. Kwanini wapalestina (wanawake, watoto, vijana na wazee) walishangilia na kusheherekea kwa shangwe kubwa tukio la Hamas la 7oktoba la kuvamia, kuteka, kuua raia wasiokuwa na hatia wa israel na mataifa mbalimbali?
Walijua nini kingefuata?
Walishindwa kulaani na kuomboleza?
8. Kuna ulazima gani kwa Hamas kuendelea kushikiria mateka wa kiyahudi mpaka leo hii?
9. Kwanini wapalestina walishindwa kutumia vyema muda wa usitishaji mapigano? Nini mantiki ya kubakia hapo hapo kwenye uwanja wa vita kama hawako tayari kufa, kujeruhiwa au kuishi kwa mateso wakati kuna upenyo wa kuondoka umetolewa?
Kwanini Hamas haikutumia huo muda kusalimu amri ili kuepusha umwagaji damu kuendelea?
10. Ni vipi mpaka leo hii wapalestina bado hawajagundua kuwa wao wanatumika na baadhi ya mataifa ya kiarabu kama chambo tu ya kupambana na Israel?
Kwanini hawajiulizi mataifa ya kiarabu yanaishia kulaani tu lakini hawapeleki askari wao kule kupigana?
UJINGA NI MAUTI...
KIBURI NI KABURI....
AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO...
Wewe mvaa msalaba wa mbao hao unaoshabikia wanasema Yesu ni mtoto wa Malaya😂Kiukweli Gaza inageuka majivu!
Netanyahu kachafukwa sio kodogo.
Wavaa kobazi ni wepesi sana kusahau, watasahau watachokoza tena moto😁
Yaani hapo ni full jazba kama kimbau mbau kamtia kofi baunsa ...........Wangelipiza hicho kisasi kwa kiasi walichochokozwa, sasa kisasi kimekuwa zaidi ya na vile walivyochokozwa. Kunawekwa makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda ila muda ulivyoisha bado et anaendelea tu kuteketeza watoto wadogo.
Povu limemtoka kaandika gazeti badala huo muda wa kuandika hilo gazeti angeandika mafuriko yaliotukumba😂Wewe kama una uchungu sana na Israeli wape ardhi yako wakalie usitupigie makelele hapa.
Sifa za terrorist sio ushindani wa amani ni ushindi wenye maumivu, ndio sababu wengine hata hujitoa mhanga kwa kujilipua ,Hilo ndio walilo fanya Hamas, wanajua hawa mwezi israel ila wameweza patiwa huruma wanayo itaka kwa dunia , ingawa ni huruma feki .Kama ushindi wa Hamas na wapalestina ni kuonewa huruma na dunia huku wakizidi kufa na kujeruhiwa kila siku basi huo ni UJINGA WA KIWANGO CHA JUU.
Kama wapalestina wanaona hichi kinachowapata sasa walikihisi kitatokea na wakawa tayari kukipokea, kwanini sasa wanalia, wanahuzunika na kuteseka hivyo? Kwanini wasitulie tu?
Ndio ujinga tunao usema, walisha ambiwa waende south na wengi wameenda kasoro wale tuu walio shikliwa na wenye kukaidi kwa imani ya uzalendo.5. Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?
Mkuu bila kujali uko upande gani katika vita hii.
Comment yako imekosa utu na uungwana.
1. Waende wapi?(Jibu lako linaweza kuwa sehemu salama kwao bila shaka)
2. Kwa mechanism gani ya kuondoka hapo walipo kwenda safe zone?
3. Hali zao za kiuchumi (particulary hao uliowataja) zikoje kuweza kuondoka hapo walipo kwenda palipo salama
Mwisho ushawahi kuwepo eneo la vita walau kwa dakika hata mbili tu mkuu?
Mimi siungi mkono vita, mimi ninapinga ujinga wa kipalestina, ujeuri wa Hamas.Dah! Umeuliza maswali mengiii!! Halafu karibia yote ni 🚮. Wewe ni Mswahili tu. Maumivu na mateso wanayopitia Wapalestina kutoka kwa Mayahudi, kamwe huwezi kuyajua.
Na kwa taarifa yako, hao ndugu zako wa kulazimisha kila siku wanatunguliwa tu mmoja baada ya mwingine. Maana wanapigana vita na mizimu. Jeuri yao iko kwenye kubomoa tu majengo na miundombinu mingine. Ila siyo kwenye kuwaua hao Hamas.
Israel na mshirika wake wanataka rasilimali mafuta iliyopo Ukanda wa Gaza!!! Phalestine Kuamua kuondoka hapo ni sawa na Kugawa urithi wao kwa adui Yao bure! Hilo halikubaliki.Kama wapalestina wanajua waisrael ni watu katili na wenye kudhamiria kile walichokisema wakikikusudia, kwanini Wapalestina wengi wasiokuwa na hatia (wanawake na watoto)wameendelea kubakia maeneo yale yale ambayo yalitangaziwa vita hata baada ya kutakiwa kuondoka?
Islamic propaganda from coffee booths[emoji1630] Israeli Kann Channel:
More than 100 IOF soldiers were injured during the war, with some experiencing blindness. Injuries resulted from shrapnel, explosions, and gunshot wounds. Between 10-15% of the injuries led to blindness in one or both eyes.
Wewe mvaa msalaba wa mbao hao unaoshabikia wanasema Yesu ni mtoto wa Malaya😂
😂😂😂😂 we jamaaa lafa nasa aiseee😂😂😂🙌🙌🙌Acha uongo FaizaFozy kasema IDF wote wamechomwa moto huko Gaza na wamekubali masharti yote ya Hamas.
Kama wewe ni Israelite basi jibu lako ni sawaHakuna mawili wala nini, hapo nilipokuquote ndio jibu.