Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

Kiukweli Gaza inageuka majivu!
Netanyahu kachafukwa sio kodogo.
Wavaa kobazi ni wepesi sana kusahau, watasahau watachokoza tena moto๐Ÿ˜
 
Umeamua kuchagua upande,

Anachofanya ISRAEL hakikubaliki na dunia yote kwa ujumla, na iko siku watalipia haya watendayo,lini?,"inabaki kuwa brackets"
Dunia ipi mbona Mimi nawaunga mkono
 
Wewe pimbi
Pumbavu
 
Kiukweli Gaza inageuka majivu!
Netanyahu kachafukwa sio kodogo.
Wavaa kobazi ni wepesi sana kusahau, watasahau watachokoza tena moto๐Ÿ˜
Wewe mvaa msalaba wa mbao hao unaoshabikia wanasema Yesu ni mtoto wa Malaya๐Ÿ˜‚
 
Wangelipiza hicho kisasi kwa kiasi walichochokozwa, sasa kisasi kimekuwa zaidi ya na vile walivyochokozwa. Kunawekwa makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda ila muda ulivyoisha bado et anaendelea tu kuteketeza watoto wadogo.
Yaani hapo ni full jazba kama kimbau mbau kamtia kofi baunsa ...........
 
October 7 walifurahi Sanaa Ila Waliambiwa watajuta ndo Majuto Yenyewe Ndo Haya Inabidi Waandike Kwenye historia yao Kama Wana Akili Ili Vizazi Vijavyo Visirudie Ujinga Ule Hiki Kipigo Hakijawahi Kutokea Kihistoria
 
Wapalestina ni wajiga sana wale matajiri walishaondoka siku nyingi wako nchi za mbali kabisa masikini ndo wanaangamia halafu majirani zao hawataki kuwapokea waparastina
Wapalestina hawana akili
 
Hamas published a poster captioned with:

โ€œTheir soldiers were roastedโ€
 

Attachments

  • IMG_7515.jpeg
    43 KB · Views: 2
Sifa za terrorist sio ushindani wa amani ni ushindi wenye maumivu, ndio sababu wengine hata hujitoa mhanga kwa kujilipua ,Hilo ndio walilo fanya Hamas, wanajua hawa mwezi israel ila wameweza patiwa huruma wanayo itaka kwa dunia , ingawa ni huruma feki .
 
Ndio ujinga tunao usema, walisha ambiwa waende south na wengi wameenda kasoro wale tuu walio shikliwa na wenye kukaidi kwa imani ya uzalendo.
Ulishaona vita huko GOMA,CONGO? kuna UN waliwatumia Luxury vihecles kuwachukua raia na kwapeleke sehemu ambako kuna hotel na hospitals iliw akae hapo kama wakimbizi? mara zote raia wenye akili hukimbia wenyewe tena kwa miguu nahufika sehemu hakuna humanitarian aid yoyote ,tena kwnye miamba ya volcano kunusuru maisha yao.
Sasa hawa Wapalestina inakuaje eti mbaka wawekewe miundo mbinu ndio wakubali kwenda huko ? ni propaganda , wapalestina walikimbia mapema na walio baki ni wale wanao pambana vita kwa imani na wengine walishikiliwa na Hamasi ili mabomu ya kidondoka na wakifa wao wwaweke muwaone muanze kulia .
 
Mimi siungi mkono vita, mimi ninapinga ujinga wa kipalestina, ujeuri wa Hamas.

Wewe unaamini kwenye vitu vya kufikirika, uongo wa kuaminishwa na ujinga wa kimtazamo.

Hivi wewe unaamini Hamas ni mizimu?
Hivi unaamini Israel inapiga mabomu majengo matupu?
Hizi wewe unaamini huko Gaza wanaoangamia zaidi ni Waisrael?
Kama ndivyo unavyoamini utakuwa huna tofauti na upeo wa wapalestina.
 
Israel na mshirika wake wanataka rasilimali mafuta iliyopo Ukanda wa Gaza!!! Phalestine Kuamua kuondoka hapo ni sawa na Kugawa urithi wao kwa adui Yao bure! Hilo halikubaliki.
 
๐Ÿ›‘ Israeli Kann Channel:

More than 100 IOF soldiers were injured during the war, with some experiencing blindness. Injuries resulted from shrapnel, explosions, and gunshot wounds. Between 10-15% of the injuries led to blindness in one or both eyes.
 
Islamic propaganda from coffee booths
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ