Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Siwapendi watu wa aina yako hivi kila kitu mtu akipost anajizungumziahana kiburi ila hakupendi mwanetu, muache aende
mi piaSiwapendi watu wa aina yako hivi kila kitu mtu akipost anajizungumzia
Unazingua sana mchumba nimeghairi kuleta posa kwenumi pia
poleUnazingua sana mchumba nimeghairi kuleta posa kwenu
Inaitwa ego hiyo kk kila mtu anajiona bora kuliko mwingine anajiona yy ndo victim wa mahusiano hayo anataka aanze kwanza yy kutafutwa au anapitisha mda kukujibu ni ubinafsi na utoto mda mwingineMahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta replacement fasta
Sihitaji pole sina kidonda popote palepole
Mtu wa aina hiyo unampotezea mapema ata ku drain energy yako tuInaitwa ego hiyo kk kila mtu anajiona bora kuliko mwingine anajiona yy ndo victim wa mahusiano hayo anataka aanze kwanza yy kutafutwa au anapitisha mda kukujibu ni ubinafsi na utoto mda mwingine
Mrokole ni kitu gani ?Bahati nzuri nimepata demu mrokole,ananipa styles zote mwanawane.
💯Mimi mmoja wapo😎
UshalewaMrokole ni kitu gani ?
Nilijua tu
Nipo rada mamilooUshalewa
Acha kiburi dogo.
Leo unagonga nini?Nipo rada mamiloo
😃😃😃mimi na mahusiano wapi na wapi shindiiAcha kiburi dogo.