Kabisa ๐๐Hadi nimechapia nkaandika ole badala ya ile ๐๐๐
jf ukiwa na moyo mdogo hutoboi
Kweli nimeamini.. Me too huwa siko hardKabisa ๐๐
Be positive tu
Sio Kila comment Huwa tuna maanisha it's just a chitchat
Ni ngumu watu kukubali kua hapendwi ama lah anapendwa ila hana maajabu , hana story za kufurahisha au anaboa ndio maana hatafutwi.hana kiburi ila hakupendi mwanetu, muache aende
Ndio mnavyojidanganya๐๐, women are very dangerous people, always wana plan B , mwanaume akishiba ugali na mbususu usiku anakoroma tuu mpaka apigwe tukioHIcho kiburi anakipata wapi mkuu? Mwanamke akikupenda haoni anakuwa kama kipofu Kazi kwako kutimiza majukumu kama mwanaume
You're welcome๐Kweli nimeamini.. Me too huwa siko hard
๐You're welcome๐
NAWEZA TETEA HAPO, SIO KIBURI BROOMahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta replacement fasta
Na kwako siez eleweka mwanetu, we endelea kugawa utamu๐Sina nipo nakusubiri wewe unayeeleweka๐
Kwamba nabii tayari unanijua huwa nagawa utamu! Kujiamlia mambo hamjambo!Na kwako siez eleweka mwanetu, we endelea kugawa utamu๐
Haina noma mwanetu endelea kujiamlia mambo maana mpaka sahii naamin huna mume au mchumba anaeeleweka...
Haujakosea kk , watu wa aina hiyo hawafai kabisa uache kupambana na maisha uanze kutumia nguvu kubwa kum impress mwanamke ? Huo utakuwa ufalaNAWEZA TETEA HAPO, SIO KIBURI BROO
KUNA MWANAMKE UNAKUWA NAE KWENYE MAHUSIANO UKIMTAFUTA TU INAKUWA SHIDA YAANI ANAKUWA VERY COLD KAMA KAMWAGIWA MAJI, NA UNANITAHIDI KUMELTA KWENYE MOOD MNAISHIA KUGOMBANA TU
NA KUNA MWANAMKE HAKUTAFUTI AKIAMINI ME NIKO DESPERATE SANA NA YEYE KILA SIKU NAMCHEKI TU
NA KINGINE KUNA MWANAMKE UKIMTAFUTA KILA MUDA ANAKAUONA FALA AU UNAMCHUNGUZA
MAHUSIANO BORA YABALANCE PANDE ZOTE๐๐๐ฅ
JIdanganye wote tukishiba ugali na mbususu usiku full kukoroma. Mwanaume analala siku akifaNdio mnavyojidanganya๐๐, women are very dangerous people, always wana plan B , mwanaume akishiba ugali na mbususu usiku anakoroma tuu mpaka apigwe tukio