Na wala sijakuita na kukuomba hata kukulazimisha ukubali kijana.Chanjo gani hiyo alienda kupewa?!
Chanjo za mwanzo za mtoto huwa zinatolewa kabla mama hajaruhusiwa kutoka hsptl.
Hapo sio aga khan ni hotel kwahiyo siwezi kukubaliana na mtu anayesema alikuwa kwny chanjo
Mi nilijifungua nikaenda nyumbani nikaambiwa nirudi sababu hawezi fungua dawa ya chanjo kwa mtoto mmoja .. so nilirudi baada ya siku nne .. inatokea hasa hospital za private okey
Anatayajulia wapi hayoSi hospital zote na hawafungui chanjo kama ni watoto chini ya kumi so tunaruhusiwa then tunarudi
Karibu mkuuHapo nimekuelewa
Mtoto wangu wa kwanza yupo darasa la 3Na wala sijakuita na kukuomba hata kukulazimisha ukubali kijana.
Mtoto wake hata akimpeleka beach wewe unaumwa nini?? [emoji15]
Pata uzazi ndiyo utajua yanayoendelea sio kuyasikia kwa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawaachia mama zao wapeleke wake zao.
Hana.Huyo mtoto hana baba!?
Halafu wanaoungulika na mambo yake ni walewanaojiita wanaume [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pambaneni na Hali zenu. Huyo faiza mkisema mmufatilie mtaumiza vichwa vyenu tu.
Kaweza kuvaa pembas kwenye mkusanyiko wa watu.
Ndo mambo Madogo kama haya yampe shida
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Hazina shida kabisa ilimradi barabara ni smooth.Hizi mambo za kizungu za kubeba watoto kwenye vikapu mimi huwa sipendagagi kabisa. Au tule tugari twa kusukuma unamfanya mtoto kama kiwete vile .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoto wangu wa kwanza yupo darasa la 3
Whaat?Hata me nilimpeleka chanjo nikatoka nikanywa supu sehemu sababu nilikaa sana hospital sema sikupiga picha
Kamdhalilisha sana huyo mttNaona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja)kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.
Picha hapo chini[emoji116]
Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje?piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.
-Ndumilakuwili-
Iyo picha ya tatu inaoneasha bado anamaumivu,... i instagrama itawawauwa,....
Kamdhalilishaje?
Zaidi ya tatizo
Jamaa mmoja mwenye pesaWhaat?
Umesaa na nani mae?
Naona anamuiga Zari hajui mwenzie papuchi mwendokasi ,inafyatua bila maumivu
Then what will happen?JUST IMAGINE MAMA YAKO NI FAIZA ALLY...........................................................................