Hizo pesa ulizikosa kwangu?Jamaa mmoja mwenye pesa
Jumatano ni siku ya chajo kwa watoto pale aghakhan na faiza alikwenda huko.
Mlitaka akae nae ndani mpaka mila zenu zitakaporuhusu ndio atoke ampeleke?
Au angeenda yeye pekee kwa niaba ya mtoto??
Au ninyi wenzetu baada ya kujifungua huwa mnafuatwa ndani na madaktari kila chanjo na mnapokua na tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza hakuwa na mtu wa kumbebea! Hata angalikuwa naye, Clinic lazima mzazi aende maana ndiye hotel ya kichangaSawaa[emoji2]
Ila huyo dada alikua Clinic na mtoto hajatembezwa mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupiga picha ni kutoheshimu familia? [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata kama ni chanjo, je picha nazo zina ulazima gani? Wamama wengi wanaharibu watoto hivi. Mama mzuri anaheshimu familia yake na kuifanya private. Nadhani kuna shida kwenye uelewa, kwenda na wakati haamanishi kufanya hivi vituko
Harafu wananishangaza hiki kizazi kimekua na wanaume wambea sijapata ona,walitaka faiza aende sehemu bila mtoto waseme huyu mama mtoto anasiku kamwacha ananyonya saa ngapi!!!? Kaenda nae shida mweeh.Halafu wanaoungulika na mambo yake ni walewanaojiita wanaume [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We hueleweki tatizo mara mweupe au mweusiHizo pesa ulizikosa kwangu?
Au uvivu tu wa kuja kuzichukua?
Suala la kufanya uzazi kuwa Private issue au lah ni la mtu mwenyewe....!Hata kama ni chanjo, je picha nazo zina ulazima gani? Wamama wengi wanaharibu watoto hivi. Mama mzuri anaheshimu familia yake na kuifanya private. Nadhani kuna shida kwenye uelewa, kwenda na wakati haamanishi kufanya hivi vituko
Anao mkuu na ni mtu mzima hakuna wa kumpangia
We unazingua sana...unajifanya unapenda pesa ila unaogopa kuja kuzichukua, au unapenda pesa za wanadsm tu?We hueleweki tatizo mara mweupe au mweusi
[emoji2] labda wenzetu madaktari huwafuata nyumbani hawatoki nje mpaka 40 na hawaendi kokote mpaka miezi3 iishe jf watu wakotofauti na mtaani wanamihela they can afford private huduma[emoji23]Ongeza hakuwa na mtu wa kumbebea! Hata angalikuwa naye, Clinic lazima mzazi aende maana ndiye hotel ya kichanga
Basi chalii nitakuja kuchukuaWe unazingua sana...unajifanya unapenda pesa ila unaogopa kuja kuzichukua, au unapenda pesa za wanadsm tu?
Mimi huwa nahisi ni mashoga maana wanaume wapashkuna wapo kila kona ya umbea humu wanajadili mambo binafsi ya watu.Harafu wananishangaza hiki kizazi kimekua na wanaume wambea sijapata ona,walitaka faiza aende sehemu bila mtoto waseme huyu mama mtoto anasiku kamwacha ananyonya saa ngapi!!!? Kaenda nae shida mweeh.
Mimi hata angeenda nae gesti tatizo nini!!!si wakwake! Anayo maamuzi yakufanya atakavyo ili mradi hajaua hicho kiumbe.huyo ni mtu mzima hawezi tembea tu na mtoto kama maonyesho lazima kuna kitu muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kijijini hamna hayo mambo na kwa wiki anaweza akazaliwa mtoto mmoja tu au asizaliwe.na chanjo wanapata,na sijawahikuona mwanamke akitembea eti anaenda dispensary baada ya siku chache tu akijifungua.Mi nilijifungua nikaenda nyumbani nikaambiwa nirudi sababu hawezi fungua dawa ya chanjo kwa mtoto mmoja .. so nilirudi baada ya siku nne .. inatokea hasa hospital za private okey
Wanajisumbua tuhHalafu wanaoungulika na mambo yake ni walewanaojiita wanaume [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye unayeenda vyema na kauli ya JPM aliyosema "fyatuaneni tu", fanya hima na mwaka keshokutwa usitoke hospitali bila ya chanjo pia.Hilo ni somo jipya basi my second on december mwakani nitagoma mpaka apewe chanjo
Kwahiyo wanawake ambao hulea vyema watoto wao kuendana na utamaduni wetu wao huwa hawabebi ujauzito?Na wala sijakuita na kukuomba hata kukulazimisha ukubali kijana.
Mtoto wake hata akimpeleka beach wewe unaumwa nini?? [emoji15]
Pata uzazi ndiyo utajua yanayoendelea sio kuyasikia kwa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app