Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Hata mm nilishangaa kwakweli, hata wiki haijafika? Huyo mzazi hata hizo nguvu za kutembea kazipata wapi?
 
Hiyo picha ya tatu ...mtoto wala hajawa well covered ....

Anakitesa kiumbe huyu...
 
Watu wanavamia wasioyajua
 
Hata kama ni chanjo, je picha nazo zina ulazima gani? Wamama wengi wanaharibu watoto hivi. Mama mzuri anaheshimu familia yake na kuifanya private. Nadhani kuna shida kwenye uelewa, kwenda na wakati haamanishi kufanya hivi vituko
Usitake kila mtu aishi maisha unayoishi wewe..

Kila mtu na maisha yake...Kila mtu na lifestyle yake mradi tu havunji sheria za nchi.

Pambana na hali yako.....Pambana na maisha yako..
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

_ where ever you are remember me_
 
Ohhooo.....[emoji12] [emoji12]
Nimesha mjua Faiza unae msema...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yule wa kurekebisha neno kwa neno nalo ni tatizo la kuitwa Faiza ...
 
Kuwapangia watu maisha ni kupoteza muda, zaa wako umuweke ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…