Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli ila maneno mengine yasemwayo ni kweli, hapo hajamtendea haki mtoto anakatesa bure.Wanadamu hawajawahi kukosa la kusema ndugu.
Na ukitaka kuwafurahisha walimwengu utachelewa kufanya maendeleo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanavamia wasioyajuaJumatano ni siku ya chajo kwa watoto pale aghakhan na faiza alikwenda huko.
Mlitaka akae nae ndani mpaka mila zenu zitakaporuhusu ndio atoke ampeleke?
Au angeenda yeye pekee kwa niaba ya mtoto??
Au ninyi wenzetu baada ya kujifungua huwa mnafuatwa ndani na madaktari kila chanjo na mnapokua na tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamtesa kwa hoja gani [emoji2]ni kweli ila maneno mengine yasemwayo ni kweli, hapo hajamtendea haki mtoto anakatesa bure.
Wewe ndiye mume wangu au bwana? unamahusiano gani namimi kujua uzazi wangu?
Ohhooo.....[emoji12] [emoji12]Kuitwa jina Faiza nalo ni tatizo .
Usitake kila mtu aishi maisha unayoishi wewe..Hata kama ni chanjo, je picha nazo zina ulazima gani? Wamama wengi wanaharibu watoto hivi. Mama mzuri anaheshimu familia yake na kuifanya private. Nadhani kuna shida kwenye uelewa, kwenda na wakati haamanishi kufanya hivi vituko
Hapana nilikwepa kwenda moshi sababu ningerudi nipo kama kiroba cha mchelehaujaenda moshi???
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Jumatano ni siku ya chajo kwa watoto pale aghakhan na faiza alikwenda huko.
Mlitaka akae nae ndani mpaka mila zenu zitakaporuhusu ndio atoke ampeleke?
Au angeenda yeye pekee kwa niaba ya mtoto??
Au ninyi wenzetu baada ya kujifungua huwa mnafuatwa ndani na madaktari kila chanjo na mnapokua na tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wanaume lolsWatu wanavamia wasioyajua
bado mdogo mifupa haijakomaa kupata hizo shurba, anyway nahisi hautaelewa siku ukiwa mama bora utaelewa.
hahahahahaa yani hili lisingekwepeka, ila nimekumiss ile mitaa ya Wistaz na ile wine yetu pendwa.Hapana nilikwepa kwenda moshi sababu ningerudi nipo kama kiroba cha mchele
Miss u too mpenzi nitatokea tu bado na ushamba wa mtoto huwa napata wine yangu nyumbanihahahahahaa yani hili lisingekwepeka, ila nimekumiss ile mitaa ya Wistaz na ile wine yetu pendwa.
Yule wa kurekebisha neno kwa neno nalo ni tatizo la kuitwa Faiza ...Ohhooo.....[emoji12] [emoji12]
Nimesha mjua Faiza unae msema...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
kwa kweli we lea tu mwaya kwasasa haya mengine utayakuta tu.Miss u too mpenzi nitatokea tu bado na ushamba wa mtoto huwa napata wine yangu nyumbani