Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?


Labda kwasababu Telegram sio lazima kutumia namba kuwasiliana na mtu, unaweza kutafuta username ya mhusika na kumtumia ujumbe..
 
Nimewahi kuchepuka wife alinipiga maswali nikayapangua ila akanishushia nondo moja ikanimaanishia kila nilichoongea ni urongo. Nikashusha pumzi nikasema 'Motherfvcker' na kicheko kikanitoka
Haya mambo bhana unazungushwa unakuja kustuka umekanyaga ulipo ruka
 
Nasikia aliteswa sana
Aliteswa sana alafu kakubali kuaibika. Anatokea mahabusu anajifanya anatokea hoteli.

Tena Bora angekuwa mahabusu ya kijeshi angekula vizuri na Kulala vizuri hata bia angekuwa anakula tu mpaka sigara. Lakini msenge alivyo boya Yuko mahabusu ya kiraia ananyea ndoo
 
Amekumbuka mchongo ulivyochongwa huku wachongaji wakiamini hautashitukiwa , lakini umeshitukiwa
 
Kuna mambo wanabishana ila ni ya kipopoma sana na uhaba wa ufahamu wa mitandao

Kibatala hafahamu mitandao na anayejibu hafahamu

Kibatala angefahamu asingeuliza urojo, Urio angefahamu angejibu kirahisi sana

Wote wameshindwa kujua namba inaonekana wapi katika telegram
 
Acha upotoshaji Mda wa kutoa maelezo upo, Kazi ya Wakili wa upande wa utetezi ni kuuliza maswali tu na inakulazimu Ujibu..

Maelezo ya hayo Maswali u anayoulizwa utayatoa wakati ukiongozwa na Wakili wa upande wako
 
Mbona wakina kingai wanawatafuta watu Kama wewe mkawasaidie kumbe mmejificha chooni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatumia nini kujiunga huko Telegram.
 
Kwa kifupi hana cha kusema anabaki anajicheka tu maskini, labda kajiona zombie ikabidi tu acheke
 


Kicheko hicho maana yake "SASA WAMENIKAMATA"!
 

Indeed, a lot of irrelevant questions get asked kwa nia ya kujaribu kumtoa shahidi kwenye reli. Unakuta eti shahidi anaulizwa, kwa mfano, kwanini hukumuambia judge kuhusu kitu fulani (ambacho muongozaji mwenyewe hakumuuliza). Wajibu wa shahidi ni kujibu anachoulizwa. Testifying in court isn’t a freestyle talk. Ni risky kujaribu kuongelea jambo ambalo hujaulizwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…