Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

Aibu tupu wajanja tulishajua hakuna kesi hapo muda sana.
 
Sasa hiyo si ndo ID code yake ya Telegram?, Shida wanatumia mitandao hii bila kui study kwanza ,
Telegram unaweza kuitumia bila mtandao wako, provided tu ukazeengee WI-FI ya sehemu yeyote
 
Asee mahakamani kumbe soo sehemu ya mchezo mchezo
Ni kazi sana kukalili mda, tarehe, kila kilichotokea hata miaka mitano nyuma,, lazima u float kama si mjanja,,
Lakini bora ujibu, Sikumbuki kuliko kukaa kimya,,
 
Ni kama alifika mahali akasema 'Dah! Bladi Faken'
Kimsingi kuna kakitu kaujinga amejistukia
Haijui vizuri telegram, so alishangaa na kutoamini kutoiona namba yake mwenyewe,
Pengine labda amehisi kibalata ni mchawi[emoji1745]
 
Anajishtuki jinsi anavyobanwa na alivyokosea
 
Shahidi yuko fresh,anasikitika tuu kuona homeboy wake anaenda kufungwa
 
Shahidi alikwisha timiza kazi yake.

Kibatala anaendeleza Porojo tu.

Ushahidi muhimu ni uthibitisho wa mawasiliano ya Mbowe na Luteni shupavu Urio.

Pia kuthibitishia mahakama kwamba yeye ndie aliyewaunganisha Makomandoo wale na Mbowe.

Kazi yake ameimaliza,tunasubiri shahidi wa 13.

Tulieni mahakama ichape kazi.
 
Huyu jamaa atakuwa aliteswa akakubali kuwa upande wa uonevu kimwili, lakini dhamira yake bado ni thabiti na hicho kicheko ni kejeli kwa waliomtuma kwamba wale wajinga waliomtesa hapo kuna jambo walikosea hawakuliweka sawa mapema.
🤦🏿‍♂️
 
Shahidi gani hataki kukiri mbowe gaidi kila akiulizwa anakataa, yani mashahidi wote wa jamhuri wamemtetea mbowe nawenzake alivyokuja ulio tugajua anakuja kuthibitisha nae kapita mule mule
 
Sasa hiyo si ndo ID code yake ya Telegram?, Shida wanatumia mitandao hii bila kui study kwanza ,
Telegram unaweza kuitumia bila mtandao wako, provided tu ukazeengee WI-FI ya sehemu yeyote
unaweza kujiunga telegram bila kuwa na namba ya simu?
 
Ameumbuka

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa atakuwa aliteswa akakubali kuwa upande wa uonevu kimwili, lakini dhamira yake bado ni thabiti na hicho kicheko ni kejeli kwa waliomtuma kwamba wale wajinga waliomtesa hapo kuna jambo walikosea hawakuliweka sawa mapema.
[emoji28][emoji28][emoji28] hivi nayeye walimnyoosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…