Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?


Uzee siyo ugonjwa na ujana si tiba..
 
Wanasiasa wanapotosha sana kwenye hili, wakiongozwa na Zitto kule Tweeter.
Kuna sense ye 'elitism' sana sasa hivi; ilikuwepo pia wakati wa JK. JK alikuwa anaitwa "Mkwere"; sasa hivi huyu anaitwa "mshamba". The sentiments are the same.
 
unajua hata unachoongea mburura au unaropoka kama Kasuku? Eleza ni wapi katiba imevunjwa? Katiba ikivunjwa ni hatua gani za kuchukua? Jaribuni kutumia na akili zenu kuchambua mambo sio kkuongea vitu kama kasuku
 
Ama kwa hakika umenena!
 
Naelewa hoja yako,kisheria linaweza kuwa sawa kiuadilifu hawa watu wote ni waadilifu tatizo ni nini mpaka iwe tabu kufanya kazi pamoja?
 
Achilia mbali Katiba, hivi kuna Mtanzania anaweza kutetea huu ujinga wa Kichere kuwa CAG? Yaani, mapenzi yetu kwa Magufuli yanafanya tuwe vipofu na kutetea kila kitu. Kama, alishindwa TRA na kuwa demoted , sasa amepandishwa cheo unategemea kweli awe independent kama alivyokuwa Prof?
 
Professor assad bado anamiaka miwili mbele kustaafu sasa wametumia vifungu gani kumuondoa tukumbuke uchaguzi mkuu upo mbioni hivyo huyu mtu alikuwa kizuizi pale
Pesa ya kufanyia kampeni inabidi ichotwe hazina
 
Nimekuelewa lakini hapa lengo ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity"

Huyu Jiwe ana operate na oligarchy yake iliyo royal kwake. Tukubali tulikosea kumpa nchi atawale, tusubiri the worst to come from him hadi aje atoke ofcn.
2020 watz tujitahidin jamani, tuanze kuwaambia rangi ya kijani kama mtamsimamisha mtu yule yule kura zetu hampati
 
Ndugai atafurahi maana yeye ndio spika wa bunge kibogoyo
 

Mzee Mwanakijiji naona umekata mzizi wa fitna hapa.
 
Nimekuelewa lakini hapa lengo ni kutengeneza mazingira ya "plunder with impunity"

Huyu Jiwe ana operate na oligarchy yake iliyo royal kwake. Tukubali tulikosea kumpa nchi atawale, tusubiri the worst to come from him hadi aje atoke ofcn.

JPM hawezi kuwa worse kuliko Che-nkapa au JK. Haitawezekana, hizo ndio chuki ambazo hazizingatii maendeleo yanayoletwa katika kipindi hiki cha awamu ya 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…