Kichwa cha Marehemu James Temba Chadaiwa kupatikana maeneo ya Kitunda Kibeberu. Ni yule aliyeookotwa Mto msimbazi akiwa anaelea bila kicwa ambapo mwili wake ulisafirishwa kwenda kwao Moshi na kuzikwa.
Soma:
Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limetoa taarifa kuelezea kupatikana kwa kichwa cha marehemu James Temba ambaye alizikwa siku chache zilizopita baada ya kuuawa kikatili, kimepatikana.
Polisi wameeleza kuwa kichwa hicho kimepatikana katika eneo la Kitunda Kibeberu, Ilala jijini Dar es Salaam, kwa mtu aliyetajwa kuwa ni mganga wa kienyeji.
Soma:
- Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa
- Ni mara ya kwanza tangu nianze huduma ya uchungaji kuongoza ibada ya kuuaga au kuzika mwili usiokuwa na kichwa
- Polisi: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa unaelea mto Msimbazi
- Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba