Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi chapatikana Kitunda, Kibeberu. Polisi Wathibitisha

Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi chapatikana Kitunda, Kibeberu. Polisi Wathibitisha

Tutajuaje kama ni chake
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Police hawa hawa tulionao au msaada toka Uganda? Isiwe michezo inachezwa,Mzee Kibao Polepole na wengine wengi mpaka leo haijulikani ila hili mpaka kichwa kimeenda chimbuliwa, kuwatia machungu wafiwa tu. Toeni maiti ya Polepole basi pia.
kuhusu hizo drama chadema wanajua in and out gentleman usiseme haijulikani kwasababu ndio waliohusika na unyama huo 🐒
 
Kuna Mauaji ila haya haya yatabaki kuwa doa katika historia ya Usalama kwa Tanzania, Tunafurahi kusikia jeshi la Polisi linashikilia watuhumiwa na tunaamini kupitia upelelezi uliofanyiaka ndio kichwa kilipopatikana kilipotelekezwa, Kuna saa tunaomba sheria ya kunyongwa itekelezwa hata kwa baadhi ya watu hasa kama hawa na wauwaji wa watoto Albino.
Mbona kwenye hili police wamekuwa haraka kupata majibu tofauti na aliyekuwa balozi wa Cuba ndugu mhe Humphrey Polepole? Mpaka Leo hakuna taarifa yoyote imetolewa juu yake
 
kuhusu hizo drama chadema wanajua in and out gentleman usiseme haijulikani kwasababu ndio waliohusika na unyama huo 🐒
mbona kwenye hili police wamekuwa haraka kupata majibu tofauti na suala kama la Polepole wakati alikuwa ni kiongozi mkubwa mpaka Leo hakuna taarifa yoyote imetolewa juu yake kwanini?
 
mbona kwenye hili police wamekuwa haraka kupata majibu tofauti na suala kama la Polepole wakati alikuwa ni kiongozi mkubwa mpaka Leo hakuna taarifa yoyote imetolewa juu yake kwanini?
nani alikua kiongozi mkubwa?
nasema hivi, chadema wanafahamu in and out kuhusu hizo drama,

hivi hujua kama hicho chama kina watu wanafanya biashara za binadamu na viungo vyake na soko lao lipo ng"ambo?
 
Mbona kwenye hili police wamekuwa haraka kupata majibu tofauti na aliyekuwa balozi wa Cuba ndugu mhe Humphrey Polepole? Mpaka Leo hakuna taarifa yoyote imetolewa juu yake
Polisi wakiamua lao wanafanikiwa, wana mianya mingi sana ya taarifa na ukusanyaji wa ushahidi wa analog au digital. Ukiona jambo wamepotezea ujue kuna mkono wa mtu una fanya manipulation
 
Very traumatic.... wanafanyaje sasa? wafukue, wazike na kichwa chake ?
 
Back
Top Bottom