Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 1,005
- 1,786
Mtoto lazima alie au akohoe ili mapafu yafunguke hakuna Cha Dunia wala ninDunia ni mbaya ndio maana mtoto akizaliwa analia.
Mtoto lazima alie au akohoe ili mapafu yafunguke hakuna Cha Dunia wala ninDunia ni mbaya ndio maana mtoto akizaliwa analia.
Hata mimi ningependa kujua naona no updates kabisaHili suala limefikia wapi ? Kuna mwenye court documents tujue ukweli
Kuna yule dada wa bank aliuliwa kwa kuchomwa moto sijuwi kibaha kwenye pori naye mpaka leo wahusika hawajajulikana na mwenendo wa kesi haijulikaniHata mimi ningependa kujua naona no updates kabisa
Afu tayar kuna matukio mengine yashatokea kama la mtoto aliyemuua mama ake kisa kukatazwa kwenda kwenye party ya birthday, kuja yule kijana wa Mwananyamala aliyemuua Baba mzazi na baba mdogo kisha kuwafukia
Yani siku matukio yamekua mengi mnoo
Naikumbuka ile ya yule binti mtoto wa Daktari kama sikosei. Sema kwa namna mzee alikua anaongea, familia wanaonekana wanajua ukweli au wana uhakika wa nani umehusika. Itakuwa mambo ya hela zaidi huko benki aliyotokaKuna yule dada wa bank aliuliwa kwa kuchomwa moto sijuwi kibaha kwenye pori naye mpaka leo wahusika hawajajulikana na mwenendo wa kesi haijulikani
Kuhusu huyo temba kuuliwa sababu mpaka sasa hazijajulikana ila polisi walisema walikuta kichwa kwa mganga ---- aise mambo ni mengi sana
Ova