KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Mh! Hii haiwezi kuwa hoja yakuitimisha!, watu wengine wanauwezo wakuyafanya hayo vizuri tu sio lazima wawe polisi tu, kuna watu wanamaarifa ya namna yakuua nakupoteza huku wakifuta viashiria vyao na sio polisi!.Polisi wakihusika na mauaji, miili huwezi ipata. Polisi isipohusika na mauaji, miili inapatikana!
Mpaka leo Chaula, Ben, Dioniz, Polepole hawajapatikana. Hiyo ndio polisi.