AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Kisa kama icho ni kizur kama unasoma kwenye kitabu au mtandaoni tena unaweza toa ushauli hao wafiwa huwajui ila bwana ukweli ndugu,jamaa na marafiki wa uyo ndugu james wanapitia mapito magumu sana juu ya huo msiba na mazingira yake