Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

Hivi ndugu zangu Mtoto aliezaliwa mwaka 2005 leo akijiunga na Ccm akawa mwanachama WA Ccm. Hivi ni halali kwake kudai yeye ni mwanachama WA chama cha cha Tanu? Ni ajabu waislamu kusema musa na Abraham na manabii wengine kuwa waislamu wakti uislamu haukuwepo wakt wa kina Abraham. Hakika muhamadi nampongeza kwa kuwadanganya waislamu kuwa musa na kina yesu ni waislamu. IsraeL ni Nchi yao takatifu hii ni ajabu Sana. Toka ukristo kuanza mpk uislamu kuja ilipita miaka 570 Hv sasa vipi waislamu wameshindwa kuelewa hesabu hz na Historia ya Dunia hii je tuamini kuwa ktk uislamu elimu ni tatizo ni watu wa kukaririshwa tu. Hakika sasa Naelewa kwa nini waislamu ni wakorofi washari wagomvi washirikina ni urithi wa mama yao hajira mmisri kijakazi wa Sara mchepuko wa Abraham. Mama hakika Mtoto WA mchepuko hawezi kuwa na maadili km Mtoto WA ndoa. Nashangaa dunia na wasomi wanasema uongo ili kuwafurahisha waarabu kwa kuogopa vita. Ni vyema wasomi wawe WA kweli km trampy alivyosema ukweli kuwa Israel makao makuu ni Jerusalem. Waislamu Acheni kukaririshwa.
 
Acha kudanganywa , hujui hata uisamu umeanza lini,

Eti kuwa na aman tu ni uislamu,

Nitakufundisha chanzo cha uislamu

Tatizo umemezeshwa matangopori madrasa
Nimedanganywa na nani sasa, Uislamu ndo maisha yangu ya kila siku na wala sijawahi jutia kuwa Muislamu zaidi ya Kumshukuru M/MUNGU kila siku kwa kuninusuru na Ibilisi na mitihani yake, wewe mkereketwa wa Uislamu namuomba M/MUNGU akunusuru na yanayokunyonga na kukulazimisha uamini ya Ibilisi, wengi wametoka katika hali hiyo ya ushabiki wa dini za kishirikina na wakaongoka, tumia akili na nguvu ulizopewa kuchanganua ya haki na yakibilisi, mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, wa Israeli na mmarekani wameunda kikundi cha kigaidi ili Wauchafue Uislamu, wamefanya siri na bado ukweli ukajulikana, yote hayo wanafanya Uislamu uonekane ni mbaya Jiulize ni kwanini dini ya Uislamu na siyo Hindu wala Wasabato? Ujiongeze sana kwenye karne hizi za mwisho, Usifwate mepesi kwakua mpo wengi Ibilisi kisirani yupo na hupenda kupotosha watu na hiyo ndio hulka yake
 
Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu wa Wakristu na Wayahudi), Kitabu cha Kwanza cha Nabii Musa kiitwacho Mwanzo (sura ya 12), kinaonesha jinsi Ibrahim alivyoitwa na Mwenyezi Mungu ili kumtumikia. Eneo hilo la Palestina ambalo zamani lilijulikana kama Kaanani, ndipo chimbuko la dini tatu kuu zenye msingi wa Ibrahim zilibuka. Dini hizo ni Uyahudi, Ukristu na baadaye Uislamu. Dini ya Wayahudi yenye misingi ya Biblia ya Agano la Kale, likianza na vitabu vitano vya Musa: Mwanzo, Kutoka, Hesabu, Mambo ya Walawi na Kumbukumbu la Torati. Ukristu ukianzia misingi kwenye Agano la Kale hadi Agano Jipya na Uislamu ukishika vitabu vinne vya Tourat ya Nabii Musa (a.s), Zabur ya Nabii Dawood (a.s), Injili ya Issa bin Mariam (a.s.) au Yesu na Kurani ya Muhamad (s.a.w).

Ibrahim, mwenyeji wa Uru wa Ulkadayo (Mesopotamia), leo Iraq, wa kabila la Waebrania anahama kutoka Iraq na kwenda Haran, Syria, na baadaye kuingia Kaanani (Uyahudi), ambapo Mwenyezi Mungu anamtokea katika njozi na kumwapia Ibrahimu kuwa, ardhi yote hiyo amepewa yeye na uzao wake na kuahidiwa Baraka. Yaani, kubarikiwa kwa kila atakaye mbariki na kwamba jamaa zote za dunia zitajibarikia. Pamoja na ahadi hiyo, Mungu anamwambia nabii Ibrahimu kuwa uzao wake utakwenda utumwani, Misri, kwa miaka mia nne (400) hadi kizazi cha nne, ndipo watakapookolewa na kupandishwa Kaanani.

Mizizi ya ugomvi huo inaanzia mnamo Karne ya Kumi na Tisa (19), wakati wa vuguvugu la utaifa la Uzayuni na Uarabu. Vuguvugu la Wayahudi lilianzishwa kuwa la kisiasa, mwaka 1892, dhidi ya Urusi na Ulaya. Mkakati ulianza kwa Wayahudi wote, popote walipo, kurejea katika nchi ya Palestina ambapo walipachukulia kuwa ndipo nchi yao ya asili. Katika kutimiza azma yao, Muungano wa Kizayuni na Taasisi za Fedha za Kiyahudi walihimiza uhamiaji na kufadhili ununuzi wa ardhi Palestina, chini ya utawala wa Ottoman na Uingereza. Mgongano huo ukianzishwa na Uingereza, kupitia Mikataba mitatu: Mkataba wa McMahon (chini ya Sir Henry McMhaon-Hussein); Azimio la Balfour la Novemba 2, mwaka 1917; na Mkataba wa Sykes-Picot, chini ya mwanadiplomasia wa Uingereza, Mark Sykes na Mfaransa, Frncois George-Picot.

Aidha, tangu hapo kulifuatiwa na milipuko ya mapigano ya mara kwa mara, kati ya Wayahudi na Waarabu, katika eneo la Palestina. Hakuna asiyekumbuka jinsi kiongozi wa Chama cha Nazi, Adolf Hiltler alivyowafanyia Wayahudi maangamizi makuu ya kupitia angamizo la Holocaust, ikiwa ni jitihada ya kulifuta taifa hilo. Azimio la Umoja wa Mataifa la mwaka 1947, liliridhia kugawanywa kwa nchi ya Palestina kwa Wayahudi na Wapalestina, ambapo Wayahudi walikubali na Wapalestina wakiungwa mkono na Umoja wa Nchi za Kiarabu, wakikataa na kusababisha kuzuka vita baina yao. Vita hivyo viliwafanya Wapalestina kuhama na kukimbilia nchi jirani za Kiarabu wakiwa wakimbizi yaani Al-Naqba. Makundi kwa makundi ya Wazayuni kutoka Ulaya Magharibi na Marekani walihamia Israeli. Zikabuniwa propaganda kuwa Wazayuni walikuwa katika mateso makali, chini ya utawala wa Adolf Hitler.

Miongoni mwa vitengo vilivyoundwa kuilinda Israeli, kilikuwa ni kikundi cha ulinzi na ujasusi, maarufu kikijulikana kama Shay ambacho wakati wa utawala wa Waingereza, wanachama wake walikuwa mkono muhimu wa harakati za chinichini za Mazayuni dhidi ya maeneo ya wenyeji wa asili ya Palestina. Wakazi asilia wa maeneo hayo ni Wafilisti na Wayahudi. Kitengo hiki kilipata msaada mkubwa, kutoka kwa wakala mkubwa wa Mazayuni, Zionist Congress, idara iliyoanzishwa mjini Zurich mwaka 1929.

Mara baada ya kuundwa taifa la Israeli, wahamiaji kutoka Ulaya na Marekani (Wazayuni) wakiongozwa na Shay walisuka mipango na kuendesha shughuli za kijasusi sehemu mbalimbali ulimwenguni. Kabla ya hapo, tokea mwaka 1923 hadi ilipofanikisha mpango wake, mwaka 1948, Shay ililenga kuanzisha taifa huru la Kizayuni katika maeneo ya Waarabu.

Na, mbinu iliyotumika wakati ule, ilikuwa kupandikiza watawala wa Kizayuni kimya kimya, ambao kwa taswira ya nje walionekana kama watumishi wa utawala wa Kiingereza, ambapo, wakati huo huo, walitumia fursa ya utawala kuandaa programu na kupanga mikakati dhidi ya Waarabu hasa wakazi wa maeneo hayo. Kwa ajili hiyo, taarifu za kijasusi zilikusanywa ili kutumika katika udanganyifu au propaganda na mipango ya utekaji nyara maeneo hayo.

Makala hii ni kutoka katika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi Sura ya 1, Uk 10.

0715865544/0755865544

View attachment 649590
Uongo mtupu, maelezo ya hearsay na ya kuungaunga! Historia ya Israel ipo wazi kwenye vitabu vilivyoandikwa karne nyingi zilizopita, wacha kubuni historia za uongo.
 
Nimedanganywa na nani sasa, Uislamu ndo maisha yangu ya kila siku na wala sijawahi jutia kuwa Muislamu zaidi ya Kumshukuru M/MUNGU kila siku kwa kuninusuru na Ibilisi na mitihani yake, wewe mkereketwa wa Uislamu namuomba M/MUNGU akunusuru na yanayokunyonga na kukulazimisha uamini ya Ibilisi, wengi wametoka katika hali hiyo ya ushabiki wa dini za kishirikina na wakaongoka, tumia akili na nguvu ulizopewa kuchanganua ya haki na yakibilisi, mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, wa Israeli na mmarekani wameunda kikundi cha kigaidi ili Wauchafue Uislamu, wamefanya siri na bado ukweli ukajulikana, yote hayo wanafanya Uislamu uonekane ni mbaya Jiulize ni kwanini dini ya Uislamu na siyo Hindu wala Wasabato? Ujiongeze sana kwenye karne hizi za mwisho, Usifwate mepesi kwakua mpo wengi Ibilisi kisirani yupo na hupenda kupotosha watu na hiyo ndio hulka yake
NDIO TATIZO LA DINI ZA KURITHI KWA BABA AU BABU, mimi nimekuwa kwenye uislamu, uislamu sio njia sahihi,

Ili kuweza kufahamu chimbuko halisi la Uislam inafaa kuyafahamu mazingira ya Uarabuni kabla ya Uislam, mtu aliyeitwa Muhammad na historia ya mwanzo ya Uislam. Elimu kale (akiolojia), Kurani na Hadithi vina mengi ya kusimlia ambayo watu wengi wanaweza kuwa hawajui, au kufahamu..

MNASHINDWA KUJIULIZA BEFORE MUHAMAD MBONA UISLAMU WALA CHEMBE YA DINI YA KISALAMU haikuwepo? Mnadanganywa eti adamu, ibrahimu walikuwa waisalmu ,na MNAKUBALI....

NGOJA NIKUJUZE kidogo, Watu wa kabila la Kureshi wa Maka walimwabudu Hubal, Al-ilah na mabinti watatu wa Al- ilah. Mwamba mweusi kutoka mbinguni uliheshimiwa sana uliwekwa kwenye kona ya kaaba. Kaaba ilikuwa ni kitovu cha kuabudia miungu/sanamu 360 kwa mujibu waBukhari juzuu ya 3 kitabu cha 43 sura ya 33 na.658 uk. 396 na juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 47 na.583 uk. 406.

Ensaiklopidia ya Uislam (iliyohaririwa na Eliade) uk.303 na kuendelea inasema, watu, kabla ya Uislam, waliomba mara 5 wakielekeza nyuso zao Maka na kufunga nusu siku kwa muda wa mwezi mzima. Wakureshi walifunga siku ya 10 ya Myharram/Muharam. Hii nayo Muhammad aliagiza ifanyike, lakini baadaye ikawa hiari. (Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 25 na.172 uk.109), pia Bukharijuzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 24 na.31 uk. 25.

Waarabu kabla ya Uislam walifanya hija (Umrah) Maka. Fiqh us-Sunnah juzuu ya 5 uk.122, na Bukhari juzuu ya 2 kitabu 26 sura ya 33 na.635 uk.371-372 zinasema walidhani kutokufanya 'Umrah ikijuwa ni moja ya dhambi kubwa sana duniani. Walipofika Maka waliifunika kaaba kwa nguo ya Fiqh juzuu ya 5 uk.131, na walikuwa na mwezi mtakatifu uliohitaji kujitenga na vita kabla ya kuja kwa Uislam (Bukhari juzuu ya 2 kitabu cha 23 sura ya 96 na.482 uk.273.

MPAKA HAPO UTAKUWA UMEPATA MWANGA KUWA KABLA MUHAMAD HAJAJA NA UISLAMU miaka ya 600AD, waarabu walikuwa na ibada zao za kipagani ,na walikuwa wanaabudu, hapo Alkaaba, Na muhamad hata yeye kaabudu hapo akiwa mdogo ,baba yake,babu yake wameabudu hapo , before 600AD, ALIPOKUJA NA DIN YA KIISLAMU, akafanyia marekebisho ya upagani wa MAKA, ndio maana kila kitu kwenye UISLAMU ni COPY & PASTE ya upagani wa MAKURESHI,

UKIBISHA NITAKUELEZA HATA mungu allah, alikuwa anaabudiwa hapo, na hao makureshi walikuwepo wengi tu wakiitwa abd-ALLAH
 
Huna namna ya kunishawishi na habari za style hii mkuu,
-Moja hujawai kua Muislamu;wewe ni msoma makala kama wapinga Uislamu wengine wanavyosoma Urongo kuhadaa
chukua mda wako na tafakari ni kwaninini upo hivyo,wakusema urongo na kuzusha yasiyopo jitafakari na jaribu kufwatilia ukweli

tumia akili yako kujiongeza kama unatamani kuitambua dini ya haki na ya kwenda nayo kwa maslahi ya kesho, Motto wa jahanam ni mkali na utadumu huko kwa ushabiki usio na tija

ACHA kuweweseka mkuu, nimenukuu vitabu vyenu vya hadithi , na insaiklopedia ya kiislamu , UNALETA VIDEO ZA YOUTUBE HAPA? mimi nikajua utakuja na aya au utanipinga kwa hoja zenye mashiko ,kuwa Wakureshi hawakufanya hayo kabla ya muhamad kuleta uislamu,uliobeba kila kitu cha makureshi,

NAOMBA NIKUONYE UKIENDELEA KUBAKI KWENYE UISLAMU , BILA KUFATILIA UMEANZA VIPI UTAENDA SHIMONI, USIPENDE KUMEZESHWA UJINGA eti ibrahimu,adamu, yesu walikuwa waislamu na wewe unafurahi, hata hujiulizi maswali madogo tu ,

KUHUSU ,MIMI , nimeshakuwa muislamu toka mtoto,mpaka pale nilipogundua ukweli na kumfata YESU KRISTO .

NGOJA NIKUFUNZE KIDOGO TU, KUHUSU mungu allah unayemuabudu ,usijue katokea wapi,

Neno "Allah" ni kifupi cha neno la kiarabu La-ilah, ambalo maana yake ni "mungu". Wakristo wa kiarabu na wapagani walitumia neno Ilah kwa maana ya Mungu.

Hata Biblia za kiarabu na kiindonesia leo hii hutumia neno "Allah" kwa maaana ya Mungu. Wakati wa nyuma neno linalofanana na hilo el lilimaanisha "mungu" wa kweli au uongo katika lugha za mashariki ya kati kama kiugariki, kikaanani na kiebrania.

Kabla ya Muhammad, kaaba jengo lililotunza sanamu 360 liliitwa Beit-Allah, au "Nyumba ya Allah".

Baba yake Muhammad ambaye alifariki kabla ya Muhammad kuzaliwa, aliitwa Abdullah maana yake, mtumwa wa Mungu.

HAPA NAOMBA UJENGE HOJA NA UWAULIZE MASHEHE HUKO MSIKITINI,KWANINI Baba wa muhamad hakuujua uislamu na alikuwa mpagani complete lakini alikuwa anafanya ibada kwenye alkaaba na alikuwa anaitwa abdu allah, ULIZA HILO SWALI ,JENGA HOJA KWA MASHEHE ,USIBULUZWE ....

Pia kabila la Wayahudi liliitwa 'Abdullah bin Salam kwenye Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 13 na. 362 uk.241.

Kwa Kukudhihirishia miongoni mwa sanamu/miungu iliyoabudiwa Maka uliitwa "Allah." Huyu alikuwa mungu maalum wa kabila la Wakureshi naye alikuwa na mabinti watatu maalum. (KAMA UNA HOJA YENYE NGUVU PINGA )

Ukilinganisha na nguzo 4 kati ya 5 za Uislam, watu wa Maka kabla ya Muhammad walifunga kwa pamoja siku moja, walitoa sadaka kwa maskini wao, walisali wakielekeza nyuso zao Maka, na walifanya hija ('Umrah) Maka, KAMA LEO WAUMINI WA KIISLAMU WAFANYAVYO, NI YALE YALE YALIYOFANYWA NA WAKURESHI WAPAGANI....

Kulikuwa na tofauti nyingi pia, lakini inashangaza kuona muendelezo wa matendo yasiyobadilika yaliyokuwa yakifanyika kwenye ibada za kipagani za kikureshi.

USIKARIRISHWE TU OHOO DINI YA HAKI ,MARA KIMEKWENDA KIMERUDI ,UTAPOTELEA SHIMONI
 
Wapalestina wa leo wengi ni Wayahudi na Wakiristo waliosilimu na kuadopt lugha ya kiarabu kama lugha yao!. Ifahamike kabla waislamu chini ya Omar hawajaenda na Kuikamata Jerusalem, wenyeji wa pale lugha yao haikuwa kiarabu, bali ilikuwa ni Kigiriki na Kiaramaic, Wakati huo kihebrania kilikuwa hakisemwi hapo, Kwa hiyo wakazi wa Eneo hilo la Israel wakaadopt kiarabu.

Kwa hiyo mnaweza kuwa mnawanyooshea Kidole wapalestina, kumbe miongoni mwao kuna wana kibao wa Israel ambao waliundergo arabization!
 
Hivi ndugu zangu Mtoto aliezaliwa mwaka 2005 leo akijiunga na Ccm akawa mwanachama WA Ccm. Hivi ni halali kwake kudai yeye ni mwanachama WA chama cha cha Tanu? Ni ajabu waislamu kusema musa na Abraham na manabii wengine kuwa waislamu wakti uislamu haukuwepo wakt wa kina Abraham. Hakika muhamadi nampongeza kwa kuwadanganya waislamu kuwa musa na kina yesu ni waislamu. IsraeL ni Nchi yao takatifu hii ni ajabu Sana. Toka ukristo kuanza mpk uislamu kuja ilipita miaka 570 Hv sasa vipi waislamu wameshindwa kuelewa hesabu hz na Historia ya Dunia hii je tuamini kuwa ktk uislamu elimu ni tatizo ni watu wa kukaririshwa tu. Hakika sasa Naelewa kwa nini waislamu ni wakorofi washari wagomvi washirikina ni urithi wa mama yao hajira mmisri kijakazi wa Sara mchepuko wa Abraham. Mama hakika Mtoto WA mchepuko hawezi kuwa na maadili km Mtoto WA ndoa. Nashangaa dunia na wasomi wanasema uongo ili kuwafurahisha waarabu kwa kuogopa vita. Ni vyema wasomi wawe WA kweli km trampy alivyosem
 
Hivi ndugu zangu Mtoto aliezaliwa mwaka 2005 leo akijiunga na Ccm akawa mwanachama WA Ccm. Hivi ni halali kwake kudai yeye ni mwanachama WA chama cha cha Tanu? Ni ajabu waislamu kusema musa na Abraham na manabii wengine kuwa waislamu wakti uislamu haukuwepo wakt wa kina Abraham. Hakika muhamadi nampongeza kwa kuwadanganya waislamu kuwa musa na kina yesu ni waislamu. IsraeL ni Nchi yao takatifu hii ni ajabu Sana. Toka ukristo kuanza mpk uislamu kuja ilipita miaka 570 Hv sasa vipi waislamu wameshindwa kuelewa hesabu hz na Historia ya Dunia hii je tuamini kuwa ktk uislamu elimu ni tatizo ni watu wa kukaririshwa tu. Hakika sasa Naelewa kwa nini waislamu ni wakorofi washari wagomvi washirikina ni urithi wa mama yao hajira mmisri kijakazi wa Sara mchepuko wa Abraham. Mama hakika Mtoto WA mchepuko hawezi kuwa na maadili km Mtoto WA ndoa. Nashangaa dunia na wasomi wanasema uongo ili kuwafurahisha waarabu kwa kuogopa vita. Ni vyema wasomi wawe WA kweli km trampy alivyosema ukweli kuwa Israel makao makuu ni Jerusalem. Waislamu Acheni kukaririshwa.

Kwani dini za waisraeli na wakristo zimetoka wapi ???
 
ACHA kuweweseka mkuu, nimenukuu vitabu vyenu vya hadithi , na insaiklopedia ya kiislamu , UNALETA VIDEO ZA YOUTUBE HAPA? mimi nikajua utakuja na aya au utanipinga kwa hoja zenye mashiko ,kuwa Wakureshi hawakufanya hayo kabla ya muhamad kuleta uislamu,uliobeba kila kitu cha makureshi,

NAOMBA NIKUONYE UKIENDELEA KUBAKI KWENYE UISLAMU , BILA KUFATILIA UMEANZA VIPI UTAENDA SHIMONI, USIPENDE KUMEZESHWA UJINGA eti ibrahimu,adamu, yesu walikuwa waislamu na wewe unafurahi, hata hujiulizi maswali madogo tu ,

KUHUSU ,MIMI , nimeshakuwa muislamu toka mtoto,mpaka pale nilipogundua ukweli na kumfata YESU KRISTO .

NGOJA NIKUFUNZE KIDOGO TU, KUHUSU mungu allah unayemuabudu ,usijue katokea wapi,

Neno "Allah" ni kifupi cha neno la kiarabu La-ilah, ambalo maana yake ni "mungu". Wakristo wa kiarabu na wapagani walitumia neno Ilah kwa maana ya Mungu.

Hata Biblia za kiarabu na kiindonesia leo hii hutumia neno "Allah" kwa maaana ya Mungu. Wakati wa nyuma neno linalofanana na hilo el lilimaanisha "mungu" wa kweli au uongo katika lugha za mashariki ya kati kama kiugariki, kikaanani na kiebrania.

Kabla ya Muhammad, kaaba jengo lililotunza sanamu 360 liliitwa Beit-Allah, au "Nyumba ya Allah".

Baba yake Muhammad ambaye alifariki kabla ya Muhammad kuzaliwa, aliitwa Abdullah maana yake, mtumwa wa Mungu.

HAPA NAOMBA UJENGE HOJA NA UWAULIZE MASHEHE HUKO MSIKITINI,KWANINI Baba wa muhamad hakuujua uislamu na alikuwa mpagani complete lakini alikuwa anafanya ibada kwenye alkaaba na alikuwa anaitwa abdu allah, ULIZA HILO SWALI ,JENGA HOJA KWA MASHEHE ,USIBULUZWE ....

Pia kabila la Wayahudi liliitwa 'Abdullah bin Salam kwenye Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 13 na. 362 uk.241.

Kwa Kukudhihirishia miongoni mwa sanamu/miungu iliyoabudiwa Maka uliitwa "Allah." Huyu alikuwa mungu maalum wa kabila la Wakureshi naye alikuwa na mabinti watatu maalum. (KAMA UNA HOJA YENYE NGUVU PINGA )

Ukilinganisha na nguzo 4 kati ya 5 za Uislam, watu wa Maka kabla ya Muhammad walifunga kwa pamoja siku moja, walitoa sadaka kwa maskini wao, walisali wakielekeza nyuso zao Maka, na walifanya hija ('Umrah) Maka, KAMA LEO WAUMINI WA KIISLAMU WAFANYAVYO, NI YALE YALE YALIYOFANYWA NA WAKURESHI WAPAGANI....

Kulikuwa na tofauti nyingi pia, lakini inashangaza kuona muendelezo wa matendo yasiyobadilika yaliyokuwa yakifanyika kwenye ibada za kipagani za kikureshi.

USIKARIRISHWE TU OHOO DINI YA HAKI ,MARA KIMEKWENDA KIMERUDI ,UTAPOTELEA SHIMONI

wewe ni mkristo unatumia biblia ipi ???

Queen James Version au King james version ??? au New International version au .... Douay au .......
 
wao wapo kiroho zaidi ,sisi tunaamini katika yerusalem ya kiroho usijerudia kututaja kwenye mambo yenu ya ukambo
Mkuu kwa hiyo Yerusalem inayoleta mgogoro sasahivi na aliyoanzishia mada Yeriko Nyerere, ni Yerusalemu ya kiroho?
 
Uislamu umekuja miaka ya 600 AD , sasa wakajipendekeza kwa wayahudi na kudai ibrahimu alikuwa muislamu, kitu ambacho sio kweli, before 600AD hakuna historia,wala mabaki ya chembe ya historia yanayoonesha paliwahi kuwepo din inaitwa uislamu,

Waarabu walikuwa. Wanaabudu jiwe jeusi na kufanya ibada kwa mungu allah,
Ndio tamadun alizokuja kuzichukua muhamad na kuziboresha kisha kusema huu utakuwa UISLAMU

lakin uislamu hauhusiani hata kidogo na MANABII WAYAHUDI ,

HATA QURAN inataja neno ISRAEL lakini haijui nini maana ya israeli, lkn BIBLIA inakuambia mwanzo na chimbuko la neno ISRAEL,

Quran haitaji neno YERUSALEM , Lakin biblia imelitaja mara 5000 ,

Waislamu wanaongopewa kuwa YERUSALEMU NI YAO , wakati hapo Yerusalemu palijengwa HEKALU NA MFALME SULEMAN, hilo hekalu muundo wake , na vitu vilivyokuwepo ndani haviendan na UISLAMU hata kidogo,

Leo pamejengwa msikit wa Al aqsa, miaka ya karibuni, lakin bado kuna waislamu wanadanganywa HUO MSIKITI ALIJENGA SULEMAN
Unatoa maelezo kichwani,huna ushahidi wa kutoka katika vitabu vya kale.Kama uislamu ungekuwa umeanzia miaka hiyo,uliyotaja,isingemtaja Adam,Ibrahim,Musa, Yesu kuwa pia ni mitume na manabii katika uislamu.Dini zote zilizoanza baada ya mitume hawa hawawataji wala kuwakubali ndani ya vitabu vyao:Huwezi kuwa muislamu mpaka
:1:Uamuni Mitume kuanzia Adam,Musa,....Ibrahim,Daud,,Ibrahim,...Issa
2:Kuamini vitabu vya mitume who,miongoni mwa vitabu hivyo
(a)Zaburi
( b)Taurat
(c)Injili
(d)Qur'an
Jaribu kuusoma uislamu,kutoka ndani ya Qur'an,ndio utaulewa uislamu usitoe kichwani.
Waislamu haawaabudu a in a yoyite ya sanamu,kama ingekuwa wanaabudu,hilo jiwe unalosema,ungeona miskitini limo hill jiwe,wamelivaa shingoni kama msalaba unavyovaliwa,lingekuwa majumvani mwa watu, waislamu wabaabudu Mungu mmoja tu.
Mwandishi wa hicho kitabu kilichotajwa hapo juu,ameelezea kwa jitihada kubwa,kukufahamisha uislamu,unavyiamini kuhusu mitume iliyopita.
Wausrael,wenye dini ya uyahud,hawakukumbali Yesu, na wakamuita mtoto wa nje ya ndoa.Wakati uislamu ndani ya Qur'an,imemtaja Yesu kwa urefu sana,na kumkubali pamoja na mitume mingine,akiwemo Ibrahimu, na vitabu,Zaburi,Taurat,Injili,vikitatajwa kwa urefu na mapana, kama uislamu hakuanza kwa Adam,ungewapinga hawa manabii na vitabu vyao,na hili liko wazi,duniani kuna dini nyingi lakini hawataji hawa manabii.
Nukta muhimu ya kuzingatia:
1:Waisrael wenye dini ya Uyahud,walikubali mitume kabla ya Yesu,lakini alipokuja Yesu wakamkataa,hapa ndio kiini cha mvurugiko,wakukataa manabii wa Mungu ulipoanza.
2:Wakristo wakamkubali Yesu, na kumkataa aliyekuja baada ya Yeah,Mtume Muhammad.
Kwa hiyo utaona,sio Mtume Muhammad tu ,aliyekataliwa na baadhi ya watu, hata Yesu alikataliwa na baadhi ya watu vilevile,wakati wote wawili walitumwa na Mungu.Na vile vile kabla ya Yesu na Mtume Muhammad,wapo pia mitume na manabii walikataliwa,na wengine kuuliwa,kuteswa nk.
 
Solomon and the Queen of Sheba

The hoopoe dropped the letter in front of the queen and flew away to hide. She excitedly opened and read it: "Verily! It is from Solomon, and verily! It reads: 'In the Name of Allah, the Most Beneficent, and Most Merciful; be you not exalted against me, but come to me as Muslims (true believers who submit with full submission).'" ( Ch 27:30-31 Quran).

And Solomon said: "Knowledge was bestowed on us before her, and we were submitted to Allah (in Islam as Muslims before her)."

She said: "My Lord! Verily, I have wronged myself, and I submit (in Islam), together with Solomon, to Allah, the Lord of the Alamin (mankind, jinns, and all that exists)." (Ch 27:20-44 Quran)
Umetoa ushahidi kwa kujitosheleza ,lakini wengi humu his lugha imewapiga Chenga,huwenda wakafikiria ni matangazo ya biashara.
 
Aya za uwongo kabisa. Mtu aje karne ya 6, ashushiwe qur an, halafu eti Sulemani alikuwa Muslim. Kwani Sulemani si Myahudi? huko kwenu kwa wenye dini yao Waarabu hamna manabii. Kwa mnang'ania manabii wa Mayahudi wakati huo huo mnawachukia wayahudi?
Huyo katoa ushahidi wa masndiko,na wewe lete ushajidi wa maandiko,tunakwenda kmasndiko,sio kutoa kichwani.Hapa huna hoja ya kupinga,bila kuleta masndiko sahihi.
 
Hakuna mwarabu nabii wa Mungu. Mohammad ni Anti-Christ aliyetabiriwa miaka 600 kabla ya hajaanzisha dini yake. Mohammad ni mtumishi wa Baali (habal) ambaye nyie mnamwita Allah. Baali ni Shetani ndo maana hata majini na mapepo huko kwenu ni viumbe wazuri.
Kuwa na akili,Mtume Muhammad angekuwa,hamkubali Yesu asingemtaja ndani ya Qur'an kwa uziri,na asingemtaja mmamke Yesu, wala Injili,na angemkashifu.Waisrael ndio wanpinga Yesu na hawamtambui na wanamwita mtoto wa haramu,wa nje ya ndoa.Wakati katika uislamu,ukimkataa Yesu,na kuikataa injili ya Yesu, huna uislamu.
 
Shekhe unaruhusiwa kusoma Biblia?, kitabu chenye umri zaidi ya miaka 3000.
Soma kitabu chenye miaka mingi kuliko biblia,Injili yenyewe ya Yesu,iliyokuwapo wakati Yesu yupo,sio Biblia iliyoandikwa wakati Yesu,ameshaondoka.
 
Acha kudanganywa , hujui hata uisamu umeanza lini,

Eti kuwa na aman tu ni uislamu,

Nitakufundisha chanzo cha uislamu

Tatizo umemezeshwa matangopori madrasa
Yesu mwenyewe alikuwa muislsmu:soma biblia
1:Akivaa kanzu,mavazi matakatifu
2:Hakunyoa ndevu
3:Akiswali kwa kusujudu,kiislamu
4:Alizikwa na sanda, kiislamu.Hakuzikwa na suti.
 
Back
Top Bottom