Wacha kukopi na kupaste,muislamu aliyesoma uislamu wake,gawzi kutoka katika uislamu hata siku moja akaingia kiristo,hebu nijibu maswali haya tu mawili,kama mtu anaingia kiristo:
1:Siku za kuabudu katika ukristo zimatofautiana
a.Wapo wakristo wanaoabudu jumamosi
b.Na wapo wanaobudu jumapili.
Dini moja,siku za kuabudu mmetofautiana.Anaengia kwenye ukristo afuate siku ipi aache siku ipi.
2:Kuna biblia ana tofauti,na matoleo tofauti,kwenye kiingereza peke yake kuna biblia matoleo 60,na hayafanani
Dini moja ya kikristo, vitabu maelfu ,yasio fanana,kwa hiyo anaywingia kwenye ukristo afuate kitabu kipi aache kipi.
Hayo ni mawili tu, na yapo mengi yenye kukinzana,yenye magagaziko mengi tu.
MBONA HUJAJIBU HOJA
AU NA WEWE KATI YA WASUNI, WAAMADIYA, N.K NANI WAPO SAHIHI?
SASA NGOJA NIKUFUNZE KUHUSU KANZU UNAYODANDIA OHO UKIVAA KANZU UNAKUWA MUISLAMU..hoja mufilisi hii
NAKOPY NDIO...KWENYE QURAN YENU...au huitaki?
Katika Quran nzima hakuna andiko linalotaja Kanzu kama vazi la Kiislamu, au ni vazi special kwa ajili ya kufanyia Ibada, kama Waislamu wafanyavyo leo, bali Quran ina kazi 2 tu kwa mujibu wa Quran.
Quran 16 SURATUL NAHL
ﻭَﺍﻟﻠّﻪُ ﺟَﻌَﻞَ ﻟَﻜُﻢ
ﻣِّﻤَّﺎ ﺧَﻠَﻖَ ﻇِﻼَﻻً ﻭَﺟَﻌَﻞَ
ﻟَﻜُﻢ ﻣِّﻦَ ﺍﻟْﺠِﺒَﺎﻝِ ﺃَﻛْﻨَﺎﻧًﺎ
ﻭَﺟَﻌَﻞَ ﻟَﻜُﻢْ ﺳَﺮَﺍﺑِﻴﻞَ
ﺗَﻘِﻴﻜُﻢُ ﺍﻟْﺤَﺮَّ ﻭَﺳَﺮَﺍﺑِﻴﻞَ
ﺗَﻘِﻴﻜُﻢ ﺑَﺄْﺳَﻜُﻢْ ﻛَﺬَﻟِﻚَ
ﻳُﺘِﻢُّ ﻧِﻌْﻤَﺘَﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢْ
ﻟَﻌَﻠَّﻜُﻢْ ﺗُﺴْﻠِﻤُﻮﻥَ
81. Na Mwenyeezi
Mungu katika vitu alivyo viumba
amekufanyieni vitu vitiavyo
vivuli, na amekufanyieni makazi
katika milima, na amekufanyieni
kanzu zinakukingeni na joto, na (baridi) na amekufanyieni
nguo za chuma ndivyo hivyo
anavyokutimizieni neema zake
ili mpate kutii.
Kanzu kazi zake ni hizo mbili kama zilivyoanishwa ndani ya Quran.
(1) Kukinga na Joto
(2) Kukinga na baridi
Japo hapo sina uhakika kama kweli kanzu inaweza kugeuka A/c wakati wa Joto, au au Eater wakati wa Baridi, maana Dar e salaam kusingekuwa na haja ya kununua Feni, kwa ajili ya kupambana na Joto, watu tungekuwa tunavaa kanzu, ili tupate ubaridi.
Waislamu waishio MBEYA, Arusha, Iringa, Njombe, na sehemu zingine zenye baridi, wangekuwa wanavaa tu kanzu, ili kujikinga na baridi. Kwa hivyo hakuna andiko linalosema kwamba Kanzu ni vazi la kiislamu, au vazi la Ibada kwa ajili ya waislamu, ili Yesu awe muislamu! na isitoshe Kanzu Kibiblia matumizi yake ni tofauti na ya ndani ya Quran, kwani Iliandaliwa kwa ajili ya kazi ya Ukuhani.
Kutoka 28:40 Kisha utafanya kanzu kwa ajili ya wana wa Haruni, nawe wafanyie mishipi, wafanyie na kofia kwa utukufu na uzuri.
41 Nawe mvike huyo nduguyo Haruni na wanawe nao mavazi hayo; nawe watie mafuta, na kuwaweka kwa kazi takatifu, na kuwatakasa, ili wapate kunitumikia mimi katika kazi ya ukuhani.
42 Nawe wafanyie suruali za nguo ya kitani, ili kufunika tupu ya miili yao; suruali hizo zitafika tangu kiunoni hata mapajani;
43 na Haruni na wanawe watazivaa, hapo watakapoingia katika hema ya kukutania, au hapo watakapoikaribia madhabahu ili watumike katika mahali patakatifu; wasije wakachukua uovu, wakafa; hii itakuwa ni amri ya milele kwake yeye, na kwa wazao wake.
Hiyo ndo ilikuwa kazi ya Kanzu, kwa ajili ya kazi ya Ukuhani, Waliivaa tu pale walipoingia katika hema za kukutania, na walipotoka, waliyavua, hayo yakaitwa mavazi Matakatifu, kwa sababu yalivaliwa kwa ajili ya kazi Takatifu.
Walawi 16:1 Bwana akasema na Musa, baada ya kufa kwa hao wana wawili wa Haruni, walipokaribia mbele za Bwana, wakafa;
2 Bwana akamwambia Musa, Sema na Haruni ndugu yako, kwamba asiingie wakati wo wote katika mahali patakatifu ndani ya pazia, mbele ya kiti cha rehema, kilicho juu ya sanduku, asije akafa; maana, mimi nitaonekana katika lile wingu juu ya kiti cha rehema.
3 Haruni ataingia katika patakatifu na vitu hivi; ng'ombe mume mchanga kwa sadaka ya dhambi, na kondoo mume kwa sadaka ya kuteketezwa.
4 Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa.
Kanzu hizo za Kikuhani zilikuwa maalumu sana kwa ajili ya utumishi, mavazi ambayo yalikuwa na masharti katika kuyavaa, Hakuruhusiwa mtu mwingine asiye kuhani kuvaa mavazi hayo yaliyokuwa maalumu kwa ajili ya kazi ya Ukuhani, Haruni na wanae walipomaliza, waliyavua, kama Wafanyavyo mapadre, na Wachungaji wa Anglikani, Lutherani, na Moraviani, huyavaa wakati waingiapo Madhabahuni, na baada ya Ibada huyavua, hawatembei nayo, tofauti na Kanzu za waislamu leo, ambazo
Vibaka, Wapiga debe, wacheza music, Huzivaa, masokoni, Maguest house kwenye uasherati wanaingia nayo, yanauzwa kila kona, mpaka 3000 kwa sababu ni kanzu za kawaida, zisizo Takatifu, ambazo walikuwa wanavaa wanawake waliokuwa mabikira.