Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

Walio kuwa wanaishi katika hilo eneo walikuwa wakiabudu na kuitukuza miungu, mabaali na maashera hivyo Mungu ndio akamua kuwapokonya nchi yao na waangamizwe pengine wakawe fundisho kwa wale wa aina hiyo. Kwa nini wao mulize Mungu.

Kuhusu Israel uzao wa Yakobo kuwa taifa teule pia muulize Mungu ilikuwa vipi akaamua manabii kupitia katika uzao huo. Hata yeye Mungu/Bwana Yesu kuja duniani alizaliwa katika uzao wa Daudi myahudi? Maana kama Bwana Yesu angezaliwa katika uzao wa wagunya kwa mfano penginepo wagunya ndio wangekuwa taifa teule.

Ni wazi shetani naye ana watu ambao ni taifa teule lake na kwa hila zake akataka kujinasibisha na hilo taifa teule la Mungu.

Muhimu ni kujitahidi kuzishirikisha na kutumia akili zetu hizi za uwanadamu maana tutawajua kwa matendo yao ila hapo sasa unafiki na ugumu wa nyoyo za binadamu kuukubali huu ukweli mchungu ndio inakuwa kimbembe.

Nakuelewa sana mkuu na huu mtizamo wa aina yako ni wa wengi lkn kama nilivyotangulia kusema katika hizi zama ni kweli hatuwezi tukafikiria ktk namna tofauti na huru zaidi kuliko kuegemea ktk tu nchi ya ahadi na dhana ya kupewa na mambo ya kubarikiwa

Sisemi nani yupo sahihi lakini dhana ya kumuondoa mtu eti tu tulipewa na mbaya aliowapa alijua hapo kuna watu na italeta mgogoro wa miaka na miaka na mbaya zaidi aliowapa akawapa ulinzi Wa kusema wamebarikiwa na watakao wabariki nao wanapata baraka dah, hii dhana ya baba muumba kuwapa ubora 'race' fulani tu ina maana tayari kaweka matabaka hapo ndo nauliza why?

Wapalestina na Waisrael wote wana changamoto zao kama jamii na wana matendo yao yaliyo chanya na hasi katika historia zao

Mfano sisi Waafrica bado tunaamini kwa wengi wetu mambo ya kulala mwanaume na mwanaume sio sawa lkn kuna 'parade'zinafanyika Tel Aviv Israel kusheherekea hilo sasa kama baraka ipo ktk 'race '/ jamii yote ya Israel na baraka zao ni zao la kukuabudu mungu mmoja nae kapinga kupitia hivyo vitabu matendo hayo sasa hapo baraka zinasimama kwa matendo yao au ndo uzao tu na vyoyote vile umaalumu wao wa kipekee upo wp hapo kuliko jamii zote ulimwenguni ?

Pia Wapalestina wana mapungufu yao tu mengi kulingana na mitizamo yao lkn kubwa dunia nzima kutumia maandiko matakatifu kutatua tatizo hilo naona kama sio suluhu ni ku 'block' mawazo na njia mbadala za kuleta amani hapo maana wote wana haki ya ukaazi hapo

Ktk zama hizi za 'Enlightenment ' dhana ya tulipewa na baraka sijui au 'superior race' nikurudi nyuma ktk 'giza' tujifunze kupendana kama binaadam kwa ujumla wetu
 
Kuondoka kwa hao watu MUNGU alikusema zaman kuwa waondosheni msiwaache hata mmoja kwa hao watakuwa mwiba kwenu(mbigiri)lkn waliwaacha na wengine kuwaoa kama kina delira matokeo yake ndo haya,wapalestina si mahala pao pale

Kwa kuwa Wapalestina nao ni viumbe wa Mungu, Je kwa nini Mungu wa upendo aamuru watu aliowaumba yeye Mwenyewe wauawe au wafukuzwe na watu wengine?

Ndivyo Mungu wa biblia alivyo?

Kwa nini hakuwapelekea manabii hao wafilisti ili kupitia hao Manabii waweze kumuabudu na kuacha maovu yao?
 
Kwa kuwa Wapalestina nao ni viumbe wa Mungu, Je kwa nini Mungu wa upendo aamuru watu aliowaumba yeye Mwenyewe wauawe na watu wengine?
Nchi ile ilikuwa ni ahadi ya wana wa israel na mungu aliwafaham vzuri sana hao wapalestina kuwa ni hatari wa waisraeli na ndo maana ya kusema wawaondoshe wasimuache hata mmoja,maksud ya mungu anayajua mwenyewe.
 
Sasa kwa kuwa hawakumalizika basi ile nchi ni yao maana wamekuwepo pale kabla ya Waisrael!

Waisrael ni wakuja
 
Hivi kwa nini sodoma na gomora aliokolewa Lutu na familia yake tu. Hapo Israel pamoja na kuwa wapo ambao wanafanya matendo ya dhambi tena za kufuru wapo wenye haki mbao bado wanabeba hilo agano la Mungu. Bwana Yesu alikuwa na wanafunzi 12 ingawa baadaye mmoja alimsaliti je kati ya hao 12 alikuwepo Msukuma hata mmoja? Na katika hao 12 leo hii hapa Duniani Bwana Yesu yuko na wafuasi wangapi? Sasa mtu anaposema Bwana Yesu alikataliwa na wayahudi wote unamuweka katika fungu gani?

Hivi ni kuulize unajua kwa nini Israel inaitwa taifa teule? Au ni weke hivi wayahudi wote walikuwa manabii? Si baadhi tu wachache kati yao.

Unapozungumzia kujifunza kupendana sijui unataka kusema nini? Wewe kuna unaye mchukia /usiye mpenda labda? Maana hapa tunazungumzia mambo ya imani kutokana na mtu anavyo amini. Kwa imani yake.

Nakuelewa sana mkuu na huu mtizamo wa aina yako ni wa wengi lkn kama nilivyotangulia kusema katika hizi zama ni kweli hatuwezi tukafikiria ktk namna tofauti na huru zaidi kuliko kuegemea ktk tu nchi ya ahadi na dhana ya kupewa na mambo ya kubarikiwa

Sisemi nani yupo sahihi lakini dhana ya kumuondoa mtu eti tu tulipewa na mbaya aliowapa alijua hapo kuna watu na italeta mgogoro wa miaka na miaka na mbaya zaidi aliowapa akawapa ulinzi Wa kusema wamebarikiwa na watakao wabariki nao wanapata baraka dah, hii dhana ya baba muumba kuwapa ubora 'race' fulani tu ina maana tayari kaweka matabaka hapo ndo nauliza why?

Wapalestina na Waisrael wote wana changamoto zao kama jamii na wana matendo yao yaliyo chanya na hasi katika historia zao

Mfano sisi Waafrica bado tunaamini kwa wengi wetu mambo ya kulala mwanaume na mwanaume sio sawa lkn kuna 'parade'zinafanyika Tel Aviv Israel kusheherekea hilo sasa kama baraka ipo ktk 'race '/ jamii yote ya Israel na baraka zao ni zao la kukuabudu mungu mmoja nae kapinga kupitia hivyo vitabu matendo hayo sasa hapo baraka zinasimama kwa matendo yao au ndo uzao tu na vyoyote vile umaalumu wao wa kipekee upo wp hapo kuliko jamii zote ulimwenguni ?

Pia Wapalestina wana mapungufu yao tu mengi kulingana na mitizamo yao lkn kubwa dunia nzima kutumia maandiko matakatifu kutatua tatizo hilo naona kama sio suluhu ni ku 'block' mawazo na njia mbadala za kuleta amani hapo maana wote wana haki ya ukaazi hapo

Ktk zama hizi za 'Enlightenment ' dhana ya tulipewa na baraka sijui au 'superior race' nikurudi nyuma ktk 'giza' tujifunze kupendana kama binaadam kwa ujumla wetu
 
Sasa kwa kuwa hawakumalizika basi ile nchi ni yao maana wamekuwepo pale kabla ya Waisrael!

Waisrael ni wakuja

Wajuaje mambo ya Mungu labda ndio umefika wakati wa kuwamalizia hao walio bakia wasiomkubali maana lazima kati yao wako ambao wanaendelea kumuabudu mungu baali na ashera.
 
Kwani habari njema za ukombozi wa mwanadamu hazija wafikia Wapalestina? Wewe ulitaka Mungu awape upendo gani hao Wapalestina zaidi ya huu wa yeye Bwana Yesu /Mungu kujitoa kwa ajili ya dhambi zao?

Kwa kuwa Wapalestina nao ni viumbe wa Mungu, Je kwa nini Mungu wa upendo aamuru watu aliowaumba yeye Mwenyewe wauawe au wafukuzwe na watu wengine?

Ndivyo Mungu wa biblia alivyo?

Kwa nini hakuwapelekea manabii hao wafilisti ili kupitia hao Manabii waweze kumuabudu na kuacha maovu yao?
 
Genocide hufanywa na watu, siyo natural courses

Je biblia huuruhusu watu kufanya genocide dhidi ya watu wengine?

Ndivyo ilivyokuwa wakati Joshua alipokuwa ana waongoza wana wa Israel kuichukua nchi ya ahadi kwa kuiteka. Ile ya Farao kuzama bahari ya Shamu na jeshi lake lote sijui utaita nini? Maana mwenzetu ya onesha umebobea katika masuala ya kigenocide.
 
Walio kuwa wanaishi katika hilo eneo walikuwa wakiabudu na kuitukuza miungu, mabaali na maashera hivyo Mungu ndio akamua kuwapokonya nchi yao na waangamizwe pengine wakawe fundisho kwa wale wa aina hiyo. Kwa nini wao mulize Mungu.

Kuhusu Israel uzao wa Yakobo kuwa taifa teule pia muulize Mungu ilikuwa vipi akaamua manabii kupitia katika uzao huo. Hata yeye Mungu/Bwana Yesu kuja duniani alizaliwa katika uzao wa Daudi myahudi? Maana kama Bwana Yesu angezaliwa katika uzao wa wagunya kwa mfano penginepo wagunya ndio wangekuwa taifa teule.

Ni wazi shetani naye ana watu ambao ni taifa teule lake na kwa hila zake akataka kujinasibisha na hilo taifa teule la Mungu.

Muhimu ni kujitahidi kuzishirikisha na kutumia akili zetu hizi za uwanadamu maana tutawajua kwa matendo yao ila hapo sasa unafiki na ugumu wa nyoyo za binadamu kuukubali huu ukweli mchungu ndio inakuwa kimbembe.

ISRAELI NI TAIFA TEULE HATA KWA HAYA, GONGA Shalom! Tel Aviv is the world's top gay city
 
Yeriko anaandika upuuzi tu , kichwa cha habari kingine maelezo mengine pyuuuu sijutii tokununua hilo likitabu lako lilojaa udaku.
 
ISRAELI NI TAIFA TEULE HATA KWA HAYA, GONGA Shalom! Tel Aviv is the world's top gay city

Hilo ni suala lililo mikononi mwa Mungu mwenyewe jinsi ya kushughulija nao. Mfalme Nebukardeneza alitumiwa na Mungu kuwashughulikia wakapelekwa uhamishoni/utumwani lakini ahadi ya Mungu juu ya wana wa Israel haikubadilika ili simama. Mungu si kigeugeu kama mwandamu ahadi yake itaendelea kusimama kwa jinsi ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuelewa. Wewe ndg Gavana hata unge quote mamilioni ya links hapa Mungu hatabadilika maana si kigeugeu kama mwanadamu.
By the way wewe ni Gavana yupi Ndulu au Idris au ni vyeo tu vimefanana?
 
Hilo ni suala lililo mikononi mwa Mungu mwenye jinsi ya kushughulija nao. Mfalme Nebukardeza alitumiwa na Mungu kuwashughulikia wakapelekwa uhamishoni lakini ahadi ya Mungu juu ya wana wa Israel haikubadilika ili simama. Mungu si kigeugeu kama mwandamu ahadi yake itaendelea kusimama kwa jinsi ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuelewa. Wewe ndg Gavana hata ungetoa mamilioni ya link hapa Mungu hatabadilika maana si kigeugeu kama mwanadamu.
By the way wewe ni Gavana yupi Ndulu au Idris au ni vyeo tu vimefanana?

UNAZUNGUMZIA MUNGU YUPI ?? WA WAYAHUDI AU WAKRISTO ??

ATAWASHUGHULIKIA , KWANI ALIKUAMBIA WAPI ????

Mimi ni gavana wa JF😛😛
 
Hakuna tofauti ya Mungu wa Wayahudi na Wakristo Mungu ni huyohuyo mmoja. Tofauti iko katika jinsi walivyompokea huyo Mungu wao mmoja. Jinsi Wayahudi walivyo mpokea inatafautiana na jinsi wakristo walivyo mpokea. Wayahudi walimpokea hapo awali ila alipo kuja kuishi kati yao/Emanuel wengi wao hawakumpokea wala kumkubali ila Wakristo ambao kati yao wapo wayahudi wa chache walimpokea tangu awali na hata alipo kuja kuishi nao hapa duniani na mpaka leo wameendelea kumkubali Bwana Yesu/Mungu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

Kuhusu kuwashughulikia uzoefu/historia hata katika Biblia na maisha ya kawaida ya onesha hivyo. Nimetoa mfano wa Nebukardeneza lakini hata Hittler hapa juzi kati aliwashughulikia ndio wakakumbuka kuitafuta nchi yao ya "AHADI" wakisaidiwa na UN katika zama hizi

Ila miungu iko mingi na sijui kwa nini shetani alitumia huo mkakati wa kuabudiwa kupitia miungu mingi miingiiiii na huu wa kutaka kujinasabisha na Mungu.

Hii Gavana wa jF ni cheo au jina au jina la cheo cha jF?
 
Hivi kwa nini sodoma na gomora aliokolewa Lutu na familia yake tu. Hapo Israel pamoja na kuwa wapo ambao wanafanya matendo ya dhambi tena za kufuru wapo wenye haki mbao bado wanabeba hilo agano la Mungu. Bwana Yesu alikuwa na wanafunzi 12 ingawa baadaye mmoja alimsaliti je kati ya hao 12 alikuwepo Msukuma hata mmoja? Na katika hao 12 leo hii hapa Duniani Bwana Yesu yuko na wafuasi wangapi? Sasa mtu anaposema Bwana Yesu alikataliwa na wayahudi wote unamuweka katika fungu gani?

Hivi ni kuulize unajua kwa nini Israel inaitwa taifa teule? Au ni weke hivi wayahudi wote walikuwa manabii? Si baadhi tu wachache kati yao.

Unapozungumzia kujifunza kupendana sijui unataka kusema nini? Wewe kuna unaye mchukia /usiye mpenda labda? Maana hapa tunazungumzia mambo ya imani kutokana na mtu anavyo amini. Kwa imani yake.

Labda niihitimishe tu kwamba mimi sitaki kufungwa kwa utatuzi wa nchi ya ahadi au tulipewa hili eneo kupitia kwa uzao wa Ibrahim

Reality ni kwamba Wapalestina wapo hapo kwa miaka na wayahudi pia walikuwepo hapo wakaondoka wengi wao na wakabaki wachache sasa ni suala la kuona wanaishi vipi na dunia iwasapoti kwa utatuzi wa manufaa kwa wote sio kwa mlengo wa kina Trump eti walipewa sijui ipo ktk kitabu gani na blah blah nyingi ili kuhalalisha tu uvamizi mfano wewe umeondoka ktk eneo lako miaka kwa maelfu na ulikuwa una majirani zako wakati unaondoka sasa vizazi vyako pia baada ya kupita miaka mingi vinapata mateso ugenini na vinataka kurudi vilipotoka lkn majirani ndo wametapakaa huko sasa hapo busara sio kurudi kwa ubabe maana hata kurudi kwako ni sababu ya kutotakiwa ulipolowea ni kuwa 'humble' na wenyeji uliowakuta sio kuja kibabe

Pia kingine tu kwa dunia hii ya utambuzi kutatua migogoro kwa maelezo ya sijui nilipewa au mimi ni bora na wengine tunacheza ngoma ya kuona eti kuna 'superior race' ni dalili tu kuna wenza wetu wapo bado gizani na kiukweli linauma kuona tunaachana nyuma ktk kuona huu ukweli

'No hard feelings' mkuu nashukuru na nimekuelewa na tupo wengi wa mtizamo wa taifa teule na atakae kubariki nae atabarikiwa NK
 
Ni jambo jema kila mmoja akibaki na mtazamo wake "kukubali kukubalina na kutokubaliana" tatizo ni pale wengine wanapo jaribu kupotosha kuhusu mitazamo ya imani za wenzao. Ina kuwa ni ujinga kukaa kimya wakati upotoshaji uko dhahiri.

Sasa tusubiri muda utaongea kitachotokea hapo nchi ya ahadi ila kumbuka tu mpaka sasa Yerusalem ni mji mkuu wa mataifa mawili kwa mujibu wa ustaraabu wa kileo (UN). Hao waitwao wakuja sijui wavamizi na hao wenyeji. Hilo lina kupa picha gani? Tuone kama Mungu atatimiza ahadi yake kwa kufuata ustarabu wa kileo/matakwa ya mwanadamu.

Labda niihitimishe tu kwamba mimi sitaki kufungwa kwa utatuzi wa nchi ya ahadi au tulipewa hili eneo kupitia kwa uzao wa Ibrahim

Reality ni kwamba Wapalestina wapo hapo kwa miaka na wayahudi pia walikuwepo hapo wakaondoka wengi wao na wakabaki wachache sasa ni suala la kuona wanaishi vipi na dunia iwasapoti kwa utatuzi wa manufaa kwa wote sio kwa mlengo wa kina Trump eti walipewa sijui ipo ktk kitabu gani na blah blah nyingi ili kuhalalisha tu uvamizi mfano wewe umeondoka ktk eneo lako miaka kwa maelfu na ulikuwa una majirani zako wakati unaondoka sasa vizazi vyako pia baada ya kupita miaka mingi vinapata mateso ugenini na vinataka kurudi vilipotoka lkn majirani ndo wametapakaa huko sasa hapo busara sio kurudi kwa ubabe maana hata kurudi kwako ni sababu ya kutotakiwa ulipolowea ni kuwa 'humble' na wenyeji uliowakuta sio kuja kibabe

Pia kingine tu kwa dunia hii ya utambuzi kutatua migogoro kwa maelezo ya sijui nilipewa au mimi ni bora na wengine tunacheza ngoma ya kuona eti kuna 'superior race' ni dalili tu kuna wenza wetu wapo bado gizani na kiukweli linauma kuona tunaachana nyuma ktk kuona huu ukweli

'No hard feelings' mkuu nashukuru na nimekuelewa na tupo wengi wa mtizamo wa taifa teule na atakae kubariki nae atabarikiwa NK
 
Waisrael wapo hapo kwa miaka 3000, wapalestina wapo hapo kwa miaka 7000,wote ni wa zamani, wote waishi pamoja
 
Back
Top Bottom