tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Wewe ni waajabu sana mkuu kama umeona hii mistari katika Biblia takatifu kwa nini huoni ile iliyo andika? Hivi, Now, all this happened in order to make what the Lord/God said through the prophet come true. " A virgin will become pregnant and have a son, and called Emmanuel" (which means, "God is with us") Matthew 2:22-23.
Nikuambie hivi moja ya njia kuu za utendaji wa Kimungu ni kutuma manabii wake kuwaletea ujumbe wanadamu kuhusu yatakayo tokea huko mbeleni, ndio wakati mwingine miaka dahari mbele. Kwenye hii nukuu ni nabii alitabiri kwa kutumiwa na . Mungu miaka mingi kabla ya Mungu/Bwana Yesu kuzaliwa na Bikira Mariamu. Mungu mwenyewe akiwa anaishi hapa duniani kama mwanadamu kati ya wanadamu yaani Bwana Yesu alifanya utabiri kuwa watakuja manabii wa uongo kwa jina langu, ndio wako sasa utasikia ooh tuna mkubali Issa lakini ukiangalia kipi wanafanya kinacho fanana na yale aliyo agiza Issa hata ukitafuta kwa tochi huoni.
Pahala pengine tukaambiwa humuhumu kwenye huu uzi Issa wa Quran si Bwana Yesu wa Biblia ni aina tu fulani ya unafiki, hila na ujanjaujanja kusema eti wanafanana. Na kama hili ni kweli basi jua hata hizo taurati, zaburi, mithali nk tunazo zitaja kutakuwa kuna walakini mkubwa maana vitabu vyote hivi vilitoka kwa Mungu/Bwana Yesu kupitia watumishi/manabii wake. Ndio mjue ile "watakuja kwa jina langu" ilikuwa na maana na angalizo kubwa/pana sana. Hallooo!!!

John 1:18: No man hath seen God at any time,
Exodus 33:20: And he said, Thou canst not see my face: for there shall no man see me, and live
So those verses make it crystal clear that no man has seen God at any time, and that no man can see his face, and if any do they shall then die.