Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Nchi kama Russia, vyuo vingi wanatumia lugha yao kama mgeni inakulazimu ujifunze, lakini sio vyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi kama Russia, vyuo vingi wanatumia lugha yao kama mgeni inakulazimu ujifunze, lakini sio vyote.
Ungekua karibu ungekunywa bia nyingiNchi ngapi za Afrika zinatumia kingereza lakini bado zipo hoi ?
Afu kule Asia nchi kibao hazitumii kingereza lakini zipo mbali, hata uko ulaya nchi nyingi tu hazitumii kingereza na bado zipo mbali.
Mbona waundaji wa hizo engine wanaandika na kutoa maarifa kijapan,yameendaje kwenye kiingerezaEngine ya gari inavyofanya kazi wanaoelezea kitalaamu zaidi na wanaongea English,Sasa mtt akaishia la Saba ama la 11 anataka kujifunza ujuzi wa namna ya engine ya gari ulivyo anaweza akala lecture huko YouTube akapata ufahamu zaidi akichanganya aliyoelezewa aanakuwa very deep in know why/how
Mjomba wenye wizara yao hawataruhusu hili kutokea, maana haohao ndo wenye shule za private zinazofanya biashara kwa mtaji wa kutumia Lugha ya kizungu😜😜Habari zenu.
Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu.
Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini.
Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA.
Mtoto akifika sekondari anaanza KIENGEREZA sio kumtesa hapa Ni Nini Mana anabakia kuumia kwa kukariri. Nawaza Hawa jamaa Wana shule zao hivyo wakiweka English watakosa watoto huko Ni mawazo yangu.
Yaani wakiwa huko kwa Sera na mipango ya elimu wao wanawaza Nini juu ya hili kuwa Kuna changamoto gani mtoto ataipata.
Wengine nadhani mtaongezea na kutoa maoni yenu.
Mie ninavyojua Kama mtoto anajua English anaweza anajifunza na kusoma kitu chochote mtandaoni akajifunza na akakimasta kabisa.
Afrika afrika afrika afrika Tanzania Tanzania Tanzania
Basi tuue kabisa shule zote hata private watumie kiswahili Mana Ni Cha maana mno. Sijakataa ,unajua wachina wanavyohangaika na English ama hao wajapani. Usipojua English kimapana Ni kuwa umejifungia kwa set A but kwa English Ni universal languageMbona waundaji wa hizo engine wanaandika na kutoa maarifa kijapan,yameendaje kwenye kiingereza
Usizungimze bila kufikiri
Kiswahili kinaweza kutumika katika elimu kuanzia awali mpaka juu kabisa na kikawa na matokeo chanya sana.
Haitokuwa na maana kama tuna lugha ya Taifa kiswahili na kinatumiwa na sehemu kubwa ya east and central africa halafu hakitumiki kwenye elimu,ni jambo la ajabu
Narudia tena ni jambo la ajabu sana
Walimu wengi mno. Fomu six atashindwaje kufundisha English kwa primary kweliTatizo walimu wapo wapi wa kufanya hivyo??
NYERERE mfumo wake ulifeeli ilitakiwa tuwe Kama China russiia ama Malaysia Ila huku Sera yake ilifeli,pia NYERERE sio Mungu elewa. Ni binadamu wa kawaida tuMwalimu J.K. Nyerere:
^Wapo watu wasiosadiki kwamba jambo lolote la maana linaweza kuandikwa kwa Kiswahili. Lakini si kweli kusema kwamba Kiswahili hakiwezi kutumika katika uandishi wa vitabu mbalimbali vinavyohusu taaluma.^
^Ni wajibu wetu sote kujaribu kadiri tuwezavyo kuikuza lugha yetu katika kuandika, kusema na katika kuwaza.^
^Nchi za Afrika Mashariki zina lugha moja ya Kiswahili yenye nguvu ya kuiunganisha Afrika na kuunda Shirikisho la nchi za Afrika.^
Wachina hawahangaiki kujifunza kiingereza tu, mchina anajifunza lugha ya sehemu anayotarget kwenda kama ni ujeruman atajifunza lugha yao kama ni Italy au ufaransa ni hivyo hivyoBasi tuue kabisa shule zote hata private watumie kiswahili Mana Ni Cha maana mno. Sijakataa ,unajua wachina wanavyohangaika na English ama hao wajapani. Usipojua English kimapana Ni kuwa umejifungia kwa set A but kwa English Ni universal language
Habari zenu.
Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu.
Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini.
Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA.
Mtoto akifika sekondari anaanza KIENGEREZA sio kumtesa hapa Ni Nini Mana anabakia kuumia kwa kukariri. Nawaza Hawa jamaa Wana shule zao hivyo wakiweka English watakosa watoto huko Ni mawazo yangu.
Yaani wakiwa huko kwa Sera na mipango ya elimu wao wanawaza Nini juu ya hili kuwa Kuna changamoto gani mtoto ataipata.
Wengine nadhani mtaongezea na kutoa maoni yenu.
Mie ninavyojua Kama mtoto anajua English anaweza anajifunza na kusoma kitu chochote mtandaoni akajifunza na akakimasta kabisa.
Afrika afrika afrika afrika Tanzania Tanzania Tanzania
Uko sahihi. Tulikosea sana tulipoamua kutumia kiswahili. Kwa Tanzania kiingereza siyo lugha tu, ila ni factor inayoweza kutumika kupima usomi na utaalam wa mtu. Nakuapia kama bunge letu lingekuwa linaendesha kila kitu kwa kiingereza basi watu wa hovyo kama kina Musukuma au Kibajaji wasingekuwepo. Pia kama ume-note Tanzania sasa hivi kila sekta ina watu wanaojigamba kuwa ni wataalam kumbe ni vilaza. Hebu fikiria kitu kama uchambuzi wa mambo nyeti unakuta unakuwa rahisi kufanya kwa sababu lugha inayotumiaka ni kiswahili na mtu yeyote anaweza kujifanya kuelezea. Watu kima kina Makonda wangepotea kabisa kwenye uteuzi kwa sababu porojo wanazopiga kwa kiswahili wasingeweza kuzisema kwa kiingereza.Habari zenu.
Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu.
Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini.
Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA.
Mtoto akifika sekondari anaanza KIENGEREZA sio kumtesa hapa Ni Nini Mana anabakia kuumia kwa kukariri. Nawaza Hawa jamaa Wana shule zao hivyo wakiweka English watakosa watoto huko Ni mawazo yangu.
Yaani wakiwa huko kwa Sera na mipango ya elimu wao wanawaza Nini juu ya hili kuwa Kuna changamoto gani mtoto ataipata.
Wengine nadhani mtaongezea na kutoa maoni yenu.
Mie ninavyojua Kama mtoto anajua English anaweza anajifunza na kusoma kitu chochote mtandaoni akajifunza na akakimasta kabisa.
Afrika afrika afrika afrika Tanzania Tanzania Tanzania
Kiswahili ni lugha finyu sana. Lugha ya kitumwa na inafifisha akili za watu.Hata somo la lugha ya Kiswahili lifundishwe na Mwalimu anaetumia Kingereza kukifundisha.
Kufeli kwa mfumo wa Mwalimu Nyerere haina maana kwamba Kiswahili kiwekwe pembeni wala Inglishi iachwe. Hapana.NYERERE mfumo wake ulifeeli ilitakiwa tuwe Kama China russiia ama Malaysia Ila huku Sera yake ilifeli,pia NYERERE sio Mungu elewa. Ni binadamu wa kawaida tu
Lugha ni mfereji tu wa kupitishia maarifa. Hakuna maarifa yaliyopo sasa yasiyoweza kueleweka 100% kwa lugha adhimu na azizi ya Kiswahili.Kiswahili ni lugha finyu sana. Lugha ya kitumwa na inafifisha akili za watu.
Hii inaaplai kwa lugha zote mbili -- Kiswahili & Inglishi. Lugha hizi mbili zingetiliwa mkazo unaotakiwa mashuleni, tangu awali, zikatumika kufundishia vyema taaluma-fani za sanaa, ufundi, sayansi, na biashara, elimu yetu ingekuwa ya kiwango cha Mlima Kilimanjaro.Moja ya sababu inayofanya nchi za Afrika ziwe wasindikizaji duniani huku zimejaa wasomi mbumbumbu ni watu wake kujifunza kwa lugha wasizozielewa vyema.
Kiingereza hakiwezi kutumika vyema kama lugha ya kufundishia kama kiswahili. Sababu ni kuwa siyo lugha ya kila siku ya mtanzania.Lugha ni mfereji tu wa kupitishia maarifa. Hakuna maarifa yaliyopo sasa yasiyoweza kueleweka 100% kwa lugha adhimu na azizi ya Kiswahili.
Hii inaaplai kwa lugha zote mbili -- Kiswahili & Inglishi. Lugha hizi mbili zingetiliwa mkazo unaotakiwa mashuleni, tangu awali, zikatumika kufundishia vyema taaluma-fani za sanaa, ufundi, sayansi, na biashara, elimu yetu ingekuwa ya kiwango cha Mlima Kilimanjaro.
Utumwa na ukoloni haujakutoka kichwani, ujerumani wanatumia kiingereza!?..hawana maarifa!?.. kiingereza kiwe somo Kama masomo mengine,boresha walimu wa English,mtu asome mpaka form four,kwishaHabari zenu.