Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mkuu, una kitu, naishauri serikali ikusikilize na ikupe ulinzi.Wachina hawahangaiki kujifunza kiingereza tu, mchina anajifunza lugha ya sehemu anayotarget kwenda kama ni ujeruman atajifunza lugha yao kama ni Italy au ufaransa ni hivyo hivyo
Kwa nchi yetu tunahitaji sana kuwa na ujuzi wa lugha zote mbili
Lengo la elimu ni kupenyeza maarifa na ujuzi wa maana akilini ili kuleta tija kwa wanufaika.Kiingereza hakiwezi kutumika vyema kama lugha ya kufundishia kama kiswahili. Sababu ni kuwa siyo lugha ya kila siku ya mtanzania.
Kiswahili ni lugha pana sema kuna wajinga fulani wamekihusisha na Uislam.Kiswahili ni lugha finyu sana. Lugha ya kitumwa na inafifisha akili za watu.
Nyie waswahili mmegundua nini Cha kuelezea kwa lugha yenu kwa kiswahili. Usiongee kwa hisiaUtumwa na ukoloni haujakutoka kichwani, ujerumani wanatumia kiingereza!?..hawana maarifa!?.. kiingereza kiwe somo Kama masomo mengine,boresha walimu wa English,mtu asome mpaka form four,kwisha
Mbona mjinga Sana babu!!?Nyie waswahili mmegundua nini Cha kuelezea kwa lugha yenu kwa kiswahili. Usiongee kwa hisia
Tupo mkuuTatizo walimu wapo wapi wa kufanya hivyo??
Kiswahili kifutwe kabisa kisiwepo maana hakina tijaMimi nimesema wapi tusijue kingereza ?
Mimi point yangu ni kwenye masomo yawe ya kiswahili na English libakie kama somo.
SawaKiswahili kifutwe kabisa kisiwepo maana hakina tija