Askari kioja
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 356
- 962
Kwani yote anayofanya kiongozi wa dini ni msimamo wa dini husika basi na dhuluma za kingono zinazomfanya papa kuomba msamaha kila siku pia tuhukumu katikazoNimekuja speed kusikia "baba paroko" kumbe sivyo. Andikeni kwa makini msichafua kanisa. Kumbe ni mlevi alijiita paroko.
Ww umepata wapi taarifa kuwa ni padre?Huyo ni padre.
Kwani Padre kufanya jinai kutabadili Imani ya kabisa?
Asilimia kubwa ya mauaji ya albino ndugu wa karibu uhusika kuanzia mipango hadi utekelezajiSijui kama baba mzazi kweli ametenda ivo, aliingia tamaa ya tsh ngp?
Inasikitisha sana kukatisha uhai wa mtoto asiye na hatia kama yule kwa tamaa ya Pesa,yes haki za binadamu ila hawa inapaswa kufa kwa kamba kabisa,lazima kama nchi tuanze kutoa mfano wa adhabu ambazo zitakuwa historia na wengine wataogopaParoko wa Kanisa la Roman Catholic huko Misenyi Kagera ametiwa mbaroni na Polisi pamoja na wenzake wanna akiwemo Baba mzazi wa mtoto albino aliyeuwawa.
Inadaiwa Bwana Paroko Kwa jina la Epidius Rwegishora alimfuata Baba mzazi wa mtoto albino aliyeuwawa na kumshawishi eti wafanye biashara ya viungo.
View: https://www.instagram.com/p/C8Zj-FcNzue/?igsh=MWFjZmdxcHZ2ZHh5MQ==
My Take
Hayo ndio Makanisa yenu na hao ndio Viongozi wenu mnaodai wanawawekea mikono ya Baraka.
Hakuna watu Wana kashfa za uhayawani na unyama ikiwemo uchawi kama Viongozi wa dini mlizoletewa na Wazungu na Waarabu kuanzia usenge(Ushoga) Hadi kulawiti Watoto.Very sad.
R.I.P mtoto.
Bi aisha mke mdogo mtume, ulipoona paroko umekuja mbio= ukatili
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?= ukatili
Kanisa halikumtuma kufanya uhalifu,Acha kuchafua kanisa wewe hayawani
Kosa ni mwanamke kuongea na nyokaBila wanaume dunia ingekua salama....